Madereva 21 kutoka Kenya na 1 kutoka Uganda wakutwa na COVID19 baada ya kupimwa na Tanzania mpakani Namanga, Arusha

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,283
2,000
1589957355512.png

1589957416919.png
 

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
10,739
2,000
Naona wakuu wa mikoa wameanza kuwa vimbelembele kweli kwenye nchi hii. Utaratibu wote uliotangazwa awali umevurugwa kimya kimya.

Huyu hapa ni Mrisho Gombo wa Arusha

IMG_20200520_094750.jpg
IMG_20200520_094756.jpg

Kwa aina hii ya matamko, kuhusu utalii kuimarika mtasubiri sana! Ni bora mkakubaliana na ukweli ili haya mambo yaishe peupe. Huko mnakoyapeleka ni kwenye giza totoro, sasa endeleeni na ubishi huo huo.
 

Savimbi Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2011
6,736
2,000
Mbona wanatuchanganya hawa? Covid19 kuongezeka wakati Bshite amesema tushaishinda korona watu warudie maisha yao kama awali.

Acha tu mkuu hawa wanasiasa wanafanya mzaha kwenye maisha ya watu, korona sio ya kuletea masikhara hata kidogo,Dr Mwele ameshangaa sana BASHITE alivyotoa tamko kwamba kuanzia Jumapili watu wapige kelele wapigwe shangwe waende beach, wafungulie mziki mzito sana na kama una gari piga oni za kufa mtu maana wameishinda korona Dr

Anashangaa kwanini watu warudi kama awali hata kama "Ugonjwa Umepungua" kwa mujibu wa "Dr" Bashite na Jiwe ilibidi wakae kwanza (Monitoring) kwa muda wa mwezi mmoja waangalie trend ya cases kwanza wakiona inazidi kudrop ndio wafikia hayo maamuzi yao!! Standard ni 30 days na ndio maana kenya wamefunga baadhiya mipaka yao huku TZ kwa siku 30.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom