Madereva 1,000 wa malori Watanzania wamegoma kuvuka mpakani Tunduma

Smkwawa

JF-Expert Member
Feb 18, 2014
651
964
Takribani madereva 1,000 wa malori Watanzania wamegoma kuvuka mpakani Tunduma mkoani Songwe kuingia Zambia kwa muda usiojulikana kwa madai kuwa wamechoshwa na ahadi hewa kuhusu utatuzi wa malalamiko yao ya kunyanyaswa na maafisa wa Zambia.

1589647242300.png
 
Back
Top Bottom