Madenge noma kweli

Madenge noma kweli

Aman Cosmas

Member
Joined
Mar 17, 2013
Posts
29
Reaction score
6
Madenge alirudi kutoka shule akilia akakutana na baba yake akamuuliza
Baba:mwanangu mbona unalia Madenge:suruali ya mwalimu ilikuwa
imeingia katikati ya ------ nkaamua niitoe Baba: eeh Madenge:nilipoitoa
akanichapa ndo nkaamua niirudishie na kidole palepale katikati
Baba:hapa sina mtoto
 
Mkuu hii nayo ni habari? Soma vizuri matumizi ya majukwaa mbalimbali ya JF
 
story za utotoni hizi hadi ukubwani?
Au kuna watu wamechelewa kukua hapa JF?
 
Sio tu baba madenge hana mtoto bali hata wewe tumekukosa humu JF
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom