How about mayor and senator? or president?
Umesema duniani! Ubinafsi upo sana hasa ndani ya vyama, Kumzuia/kumbana mtu kutetea Taifa, simply because sio mtazamo wa Chama ni UJINGA. Mfano, hapo NY mayor Bloomberg akiwa GOP, alipoona hakubaliani nao alihama na kuwa Independent. Sawa na Jesse Ventura pamoja na Joe Lieberman. Tunataka independent candidates kuepusha ujinga wa wabunge kutetea maslai ya vyama vyao badala ya Taifa.
Same... hakuna NON AFFILIATED Mayor; Senator or PRESIDENT... Kwahiyo tukianza HAYO utasikia Hauta WEZA kutoka WILAYA MOJA hadi NYINGINE ndio hayo ya KENYA tutakaribisha... UKABILA viongozi wa URAIS kwenye ni lazima waungane kiukabilia ili kushinda URAIS
Sasa KILONZO MUSYOKA chama chake kisinge JIUNGA na MWAI KIBAKI chama cha kibaki kisingeshinda BUNGE na hivyo ODINGA angechukua URAIS...
Haya sasa KILONZO MUSYOKA ameupenda Umakamu Urais unampatia PESA; Sasa Amejiunga na ODINGA kwahiyo ni WAJALUO; WAKAMBA...
It is a SHAME... SISI siku hizi tunaona NDANI ya SERIKALI ya CHAMA ndio UTAJIRI
Lakini tukianza kugawana kibinafsi -- Ndio hapo; tutaibusu AMANI BYE BYE...
Umesema duniani! Ubinafsi upo sana hasa ndani ya vyama, Kumzuia/kumbana mtu kutetea Taifa, simply because sio mtazamo wa Chama ni UJINGA. Mfano, hapo NY mayor Bloomberg akiwa GOP, alipoona hakubaliani nao alihama na kuwa Independent. Sawa na Jesse Ventura pamoja na Joe Lieberman. Tunataka independent candidates kuepusha ujinga wa wabunge kutetea maslai ya vyama vyao badala ya Taifa.
Utaaibika braza, muulize mwenzio Le Mutuz alivyoaibika kutoka kuacha kazi ya uzima moto @NYC hadi kuja kuwa kula kulala kwa Mzee Sam. Na wewe najua umekimbilia magamba kwa kuwa unajua chini ya CDM huwezi kupenya kwenye kura ya maoni mbele ya mchungaji Msigwa so uende kwepesi CCM. Lakini ujue wananchi wa Iringa wameishaisahau CCM linapokuja suala la ubunge, wanasema CCM IHELE.Kutangaza nia ni haki ya kila mtanzania,
Wakati utakapofika ndio tutajua nani mwenye nia nzuri na nani anayekimbilia mjengoni kufuata posho na shangingi
Chilisosi ataanza kwa vitendo na kumalizia kwa maneno, wengine wataanza na mikutano na kumaliza kwa mikutano na ahadi nyingi.
Dawa ni kutimiza hata kabla hujaahidi
Mh. Madenge atatusaidia wana iringa.. karibu sana Mbunge mtarajiwa, lukosi hatumjui
Veve wina lukware ,Utaaibika braza, muulize mwenzio Le Mutuz alivyoaibika kutoka kuacha kazi ya uzima moto @NYC hadi kuja kuwa kula kulala kwa Mzee Sam. Na wewe najua umekimbilia magamba kwa kuwa unajua chini ya CDM huwezi kupenya kwenye kura ya maoni mbele ya mchungaji Msigwa so uende kwepesi CCM. Lakini ujue wananchi wa Iringa wameishaisahau CCM linapokuja suala la ubunge, wanasema CCM IHELE.
Kama vipi badili JINSIA hapo kwa David Cameron uje uchukue kwa mgongo wa viti maalum. CCM si ndo mnaunga mkono ushoga
Katika DEMOKRASIA ya DUNIA hii... hata NCHI wanayosema ina DEMOKRASIA kupita zingine DUNIANI INDIA hawana MGOMBEA BINAFSI... sababu ina-UBINAFSI...
Hata USA wana so called INDEPENDENT CANDIDATES for Congress and SENATE lakini wakiingia BUNGENI lazima wawe affiliated na CHAMA either REPUBLICAN or DEMOCRAT's caucases...
Kwasababu USA wanaona a INDEPENDENT PRIVATE CANDITATE inaleta MGAWANYIKO; UBINAFSI na PIA kusababisha RUSHWA sababu kwenye UPIGAJI KURA kwa MASUALA MBALIMBALI kama sio AFFILIATED na chama chochote UNAWEZA kuharibu DEMOKRASIA...
*** HAKUNA NCHI YENYE PRIVATE CANDIDATE DUNIANI... TANGANYIKA itakuwa ya kWANZA na hapo ndipo HAYO MAKABILA 139 na ZAIDI yataanza kubaguana... TUCHUNGE TUNACHOTAKA KIBINAFSI; KITATUDHURI KIBINAFSI...
Hapo umetutukana wahehe woteNjaa itawaua ,mmesikia ana kiwanda cha maji basi mnafili ana magunia ya hela!! Nyie wanyalu hamnjifunzi, mmemchagua JA PEOPLE kuwa mwenyekiti wa mkoa na kumdhalilisha Mangula kwa sababu ya hela zake na sio kama alikuwa na weledi; na huyo Madenge ana weledi gani zaidi ya Msigwa? Acheni kuwa watu wa kudanganywa kila siku; kule Ismani Lukuvi miaka yote hii na ishirikina wake ameigeuza Ismani kuwa jangwa ilihali wakati wa wakina Mwamwindi ndio ilikuwa GRANARY ya Tanzania!! Ondokeni na huo uzumbukuku.
Mkubwa maelezo yako marefu sana .
Oh Yeah... Haya NGOJA nikupe HISTORIA ya WOTE...
Most New Yorkers do not know Mayor Bloomberg's political party affiliation, a new poll of New York City residents conducted by The New York Times with Cornell University and NY1 News finds. But their confusion is perhaps well founded, as Mr. Bloomberg has been a Democrat as well as a Republican, before becoming an independent a couple of years ago.
The poll asked respondents if they knew if Mr. Bloomberg was a Democrat, Republican, independent or something else. Just one in three New Yorkers correctly answered that he was an independent. More than one in four thought he was Republican (which he was from 2001, when he first ran for mayor, until June 2007), while about one in 10 said he was a Democrat (which he was before he first ran for mayor). A quarter of all respondents said they didn't know
Kwa Jesse Ventura - Kila State ina VYAMA vidogo vidogo ambavyo wengi wanaviita INDEPENDENT... The Independence Party of Minnesota (often abbreviated MNIP, IP, or IPM), formerly the Reform Party of Minnesota, is the third largest political party inMinnesota, behind the Democratic-Farmer-Labor Party (DFL) and Republican Party (GOP).
It is the political party of former Minnesota GovernorJesse Ventura(1999–2003), and endorsed former U.S. RepresentativeTim Penny as a candidate for the 2002 gubernatorial election. Originally an affiliate of the Reform Party USA, the party was then affiliated with the Independence Party of America but is no longer affiliated with any national party, choosing instead to focus exclusively on Minnesota politics.
Kama haujui historia yake ya "Uhalifu" basi haumjui Madenge.
Wewe umeshindwa kumaliza njaa yako binafsi ukakimbilia kubeba box huko kwa Cameron, kweli utaweza kumaliza njaa za wana Iringa. Siasa za CCM baada ya miaka 50 ya kushindwa hata kupeleka dawa kwenye kituo cha afya ngome matokeo yake watu wananunua hadi Panadol hatutaki. Tumeikataa CCM na mambo yake yote, kwa maana hiyo ukija kwa mgongo wa CCM umekwisha, au vipi MGONA PA WENEVeve wina lukware ,
Mie nakuja huko kuleta mabadiliko siji kukesha na mikutano mwembetogwa. Maendeleo sio mikutano na maandamo mnabaki kusifia nyomi wakati wana wana njaa.
Sitaki kuyaweka bayana hapa nitakayofanya ila kama nilivyoahidi, nitaanza kwa viteno then nitamalizia kwa mikutano.
Mie Iringa ndio kwetu , nimekulia hapo na kusomea hapo hivyo kila kona ninaifahamu vyema na wengi wananifahamu .
Uzuri ninawafahamu ndugu zangu na ninajua nini wanataka hivyo itakuwa sio kazi ngumu kutekeleza malengo ya maendeleo.
Huyo mchungaji wenu yeye anaweweseka wala halali anakesha kwenye mikutano mwembetogwa badala ya kutimiza ahadi alizotoa mwaka 2010.
MIMI NITAANZA NA KUTIMIZA AHADI ZAKE KWANZA
Hapo umetutukana wahehe wote
Tuombe radhi
Mkubwa maelezo yako marefu sana .
Watu tunataka katiba mpya na mgombea binafsi aruhusiwe ili wale wattako nyimwa haki kutokana na ukiritimba waweze kuitumia haki yao kwa kugombea bila mgongo wa chama chochote
Mie mwenyewe kuna ningependa kugombea bila kutumia chama chochote
Be mkwamisi, amaligo igoo!Wewe umeshindwa kumaliza njaa yako binafsi ukakimbilia kubeba box huko kwa Cameron, kweli utaweza kumaliza njaa za wana Iringa. Siasa za CCM baada ya miaka 50 ya kushindwa hata kupeleka dawa kwenye kituo cha afya ngome matokeo yake watu wananunua hadi Panadol hatutaki. Tumeikataa CCM na mambo yake yote, kwa maana hiyo ukija kwa mgongo wa CCM umekwisha, au vipi MGONA PA WENE
Alie tu, kama amekosa ukuu wa wilaya kwa JK, asitegemee kupata hata uenyekiti wa mtaa 2015 kupitia ccm
Dude! what is your argument? don't tell the history of those people, I can google myself as you did. Are you against independent candidates?