Mademu wananipapatikia nikivaa gwanda la CHADEMA

Hivi kati ya Mwanamke na Mwanaume, anayeliwa ni nani?

Wamasaai wanatongozana kwa neno: "...Mama Yeyo, namba ile nameza mwenzake....."

Kwa msemo huo, huwa nashindwa kuelewa wanaume tunapojisifu/tunasifiwa "kula Mademu" wakati ukweli ni kuwa ni sisi huwa tunamezwa kwenye mgodi wa Mbuguni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom