Mademu wananipapatikia nikivaa gwanda la CHADEMA

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
740
Ndugu wana MMU

Kwanza niwaombe samahani wapenzi wangu wa jamvi hili. Nilipotea kidogo. Baada ya kutoka Loliondo kwa babu nilipitia Arumeru kumuuguza kaka yangu, Baba Sioi; na kisha baada ya msiba nikaanza kumpigia kampeni mdogo wangu Nassari.

Sasa nimerudi Dar. Nimerudi na gwanda la CHADEMA. Basi tangia nirudi ni kero tupu kwa jinsi mademu wanavyojigonga kwangu ninapovyovaa gwanda langu la CHADEMA. Nilipokuwa nalivaa Arusha, mademu waliliona la kawaida lakini huku Dar, demu yuko tayari "kuliwa" kwa ajili ya gwanda.


Niwaulize wadada (Preta, Cheusi Mangala, Maria Roza, n.k) kuna nini mnakipenda katika gwanda? Mtaniumiza mtoto wa mwenzenu. Kitu kinatema povu tu sasa.
 
Sasa sijui unacholalamika nini. Kama unapenda kupapatikiwa endelea kuvaa, la hupendi vua. Uwamuzi unao mwenyewe wala hauitaji ushauri.
 
Mademu ukitaka wakupapatikie zaidi tembea uchi, we tembea uchi afu uje uniambie.
 
wanataka wakulie timing WAKUSUKUME hao... chezea akina dada wa daslaam weee
 
Kashaijabutege =buterezi....Gwanda ni vazi adimu siyo kama kijani kila sehemu mpaka majani...eeeh.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom