Mademu wakimya mnakera mnoo

Muache..
Mtu yeyote unatakiwa kuwa na wastani wa kila kitu
Pia kuishi kulingana na mazingira
Mimi shemeji zangu wote na mawifi wananikubali sana.
Ikihitaji kuongea naonge/kukaa kimya nakaa tena utadhani sijawahi kuongea hata mwaka mmoja
Pia unaangalia kuna wifi au shemeji mbea basi uyo ukikataka muelewane mkikaa teteni weeh/mwingine yeye mtu wa mipango yani hapo ni mipango tu/mwingine yeye baba/mama ushauri hapo mnashauriana mno/ukipata shemeji Mtu wa Ganja mkikaa elekezaneni jinsi ya kukimbia maaskari mkikaa kwa pusha[emoji3]/ukipata mwenye sifa/muongo mkubalie kila kitu msifu/ukipata wazee wa dharau basi dharau ifuate mkondo
Sasa wewe shemeji yako Esma unamwambia "muhubiri anasema"
Hutakaa upendwe nao kamwe wala kuelewana
 
hakuna mwanamke mkimya kwa mwanaume wake jichunguze vizuri kuna mahali una kwama
 
Watu wanamuogopa yaani hana shobo na mtu kabisa yeye yupo busy na mambo yake tu
 
Ni miaka mitatu nipo nae na hii tabia ni tangu tunaanza mahusiano na nlimwambia aiache ila kashindwa
duuh kazi maana mimi pia niliwahi kuwa na demu wa hivyo machoni pa watu ni kauzu balaa ila ni kiwa naye mimi ananisimulia hadi chupi aliyovaa asubuhi...maybe try to tell her new jokes ...lakini mademu wakimya ni wa ukweli sana huwa hawana mazoea ya kucheka cheka na mabishoo hiyo pia inaongeza ka security fulani kwenye mahusiaono maana watakua wanamuogopa
 
Hiyo ni Bahati mkuu shukuru Mungu Aiseee maana cc tulio Oa Clouds Fm ni Shida.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila wale watu wa clouds wanaongea jamaniπŸ˜₯πŸ˜₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…