MaxShimba
Platinum Member
- Apr 11, 2008
- 36,008
- 4,093
- Thread starter
- #41
Hawana mbio, ukitaka kuchinja anakuuliza "Are you Hausa?" unamwambia mimi Maasai bana, siyo hausa....
Basi hapo umemaliza ... hakuna cha hela wala nini, wataftaji na wahongaji wazuri hao!!!
Wacha ndugu zetu wahongwe, ngoma watakapo rudi Bongo, mambo yanakuwa kinyume. Hero mimi iko Moran ya Masai