Chimunguru Bongo huwa HAKUNAGAdah Dada zetu Bongo wazuri jamani khaaaaa sijaona hapo wa kushindanishwa na Dada zetu wa kibongo!!
Mimi nilkutana na mmoja yupo hapa bongo kwenye project moja ya barabara,ilikuwa kama zali mambo ya moja ya mitandao ya jamiii.........siku ya siku nakutana na mtoto live,kasimamia kucha ile mbaya........bahati nzuri nshaoa duh ikabidi nimpe ukweli tu..........since then mtoto ananifeel kinyama.......ila hawa wenzetu ni Lara1 type.....mafuba muhimu,hawandi kukumbuka maisha ya dhiki.
Hawana mbio, ukitaka kuchinja anakuuliza "Are you Hausa?" unamwambia mimi Maasai bana, siyo hausa....Wabongo wanakula Bata wa Kinaija, he he he Mtu wangu
Chimunguru Bongo huwa HAKUNAGA