Mademu wa mjini... Aka, sioi mie!

......huku mjini tushasahau habari za kutongozwa, ni kumwagiwa pesa tu!!!!!
wasalimie kijijini, ukirudi niletee magimbi.

kwa bahati mbaya natumia simu tu ila pokea like+++.
You have made my evining by the way.
 

😕......😱..... jamani...
 
you are being too general labda sample sample space yako inakupa wrong conclusion ndo mana unageneralise hivyo criteria muhimu nadhani education, financially well everything else being constant hao wakuandika chini na dole gumba it's too layman labda sample yako darasa la saba
 
we kweli mshamba, kaoe tu shambani!!! Nani wa mjini cku izi utamdanganya sili,silali, sipumui,mapigo ya moyo yamesimama kwa ajili yako??? NENDA TU KATUFUTE HAO WACHORA CHINI!! Town tuachie sisi tu ndo tunawezana nao
Huku watuachie vijana na Forester zetu tunachat nao na Iphone 5 zetu tu na kuwapigia simu kwa Galaxy S4 zetu...hahahahahahaha....nimesema tu hapo hahahahahahaha.....!!!!!
 

umekurupukua bwn. Nimesema "wanawake wengi.."! Si wote.
 

hahahhaaa sibadiliki ngo, na wala shida sipati hata siku moja maana mwenyewe najitambuaje!

ukija kijinga utajibiwa kijinga tu, habari ndo hiyo
 
hahahhaaa sibadiliki ngo, na wala shida sipati hata siku moja maana mwenyewe najitambuaje!

ukija kijinga utajibiwa kijinga tu, habari ndo hiyo
.....hujiatambui ....ungekua unajitambua usingeandika jinsi unavyo andika.....psychological nahisi utakua na shida flani....nikisoma maandishi yako naona tatizo....jitazame upya tena...utagundua...listen ur -self again and again.....anyway watu tunaokutana huku tuna malezi tofauti ....sishangai sana...!!!
 

utajibeba bwana kaka!

sina time mie! sijui nina shida sijui sina mie wala hainipi shida hata kidogo

pole yako wewe unayekazana eti kutaka watu wabadilike lol! unajichosha bure kijana
 
hahahhaaa sibadiliki ngo, na wala shida sipati hata siku moja maana mwenyewe najitambuaje!

ukija kijinga utajibiwa kijinga tu, habari ndo hiyo

ndio maana huolewi, unazeeka tu. Kisa mdomo mchafu!
 
ndio maana huolewi, unazeeka tu. Kisa mdomo mchafu!

pole sana kaka!

wenye midomo michafu ndo tuko kwenye ndoa, wasio na ndoa huwa wana midomo misafi sana.

angalia sie tulio kwenye ndoa na mambo yetu, yani ndo habari hiyo!

unadhani kuolewa ndo dili eh? hizo ni mbwembwe tu weye!
 

Mwanamke mwenye aibu wakati wa kutongozwa ataona aibu pia kukataa, so kwa asilimia kubwa ni kicheche mwenye aibu.
Mwanamke anatakiwa akutolee macho, alazimishe useme msimamo wako na akupe majibu on the spot (sio naenda kufikiria, ukimuuliza unaenda kufikira nn hajui!! aah...) Kwa kweli binafsi napenda sana challenge
 
utajibeba bwana kaka!

sina time mie! sijui nina shida sijui sina mie wala hainipi shida hata kidogo

pole yako wewe unayekazana eti kutaka watu wabadilike lol! unajichosha bure kijana
............ujumbe wangu ni ule ule ka ujitathmini....ujiulize upo sawa...?
 
Kaka bora umesema!! Mimi hili jambo lilinipa shida ila niligundua kuwa mjini wasichana wanataka kuonekana wa kisasa na mwanaume kwao sio ishu ila kwa wale wachache wanaojijua ukimpata uta_ enjoy mwenyewe!!
WASICHANA WA MJINI NI WAKUCHEZEA TU na kisha kuachana naye maana ukijifanya unaweza kuishi naye kaka utakufa siku sio zako!!
Hawa ukiwa na hela ndo basi tena watapanga mstari wanawake wa kila sampuli ni wewe tu na pumzi yako!!
Ukitaka kuoa nenda KIJIJINI ndugu, ila ukitaka kuruka ruka karibu mjini!!
 
Mademu ndio viumbe gani tena hawa? wewe badala ya kutafuta mwanamke wa kuoa unatafuta mademu!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…