Mademu wa mjini... Aka, sioi mie!

Angalia ucje kwenda kuoa kijijin Sitimbi ukakumbana na Zubeda yule bint wa Prof. Jay!
 

Ushatukanwa huko nini?utakuwa uliingia kichwakichwa.poleee....
 
Sasa dole gumba litaweza kuchora kweli lami au sakafu mjini? Au paving-stone? Majani nayo mjini yameanza kuwa adimu.......
 

ah busara, busara, what is busara?

nyie wenyewe hekima hamna, Mungu kawapa Madaraka, nyie yamewashinda sasa tukae kusikiliza ujinga wenu wa nini?

We ongea points za msingi, uone kama demu hajakusikiliza.

tatizo lenu mnaongea kihuni mno ndo maana hata na sie tunawapa majibu ya kihuni.

ukija kwa style ya kiutu uzima na ustaarabu, lazima mwanamke nae atakujibu kistaarabu tu labda awe na matatizo yake au stress zake.

nyooooooooo mwone kwanza sura yake
 
Rudi ukajitwalie huko ndugu....nakupa sapoti ila ukirudi naye tayarisha nauli ya kwenda kwenu kutafuta mwingine!
 

hii kali san mtu mzima eti anataka apewe sound nyng ukubali kubali uhalisia wa mtu mwenyw sound co kigezo sn ndo mana mnaolewa na wanaume mlokutana nao cku moja sound zkakolea mara nioe kesho humpend ridhia mwenyw c kwa mistari mingi sn nyakati hz za uwaz ctegemei neno moja la kwanz ucjue haja ya moyo wa mtu kwako
 

Hivi bwamdogo bado unawaza kuoa zama hizi?
Sasa hivi tunaingia kwenye ndoa za mkataba kuanzia mwaka mmoja na kuendelea.
Mkataba ukiisha una re-new kama mmenogeana..............!:A S-fire1:
 
Kwanza unabahati ukizubaa Town mademu wanakutongoza fasta, Angalia usisimame simame ovyo bila kazi maalumu maeneo ya Bar na Guest houses, au kule Oiho street. Hawachelewe kukubaka.Nafuu urudi zako village Town tunapaweza sisi,hatutongozi sikuhizi tunachagua tuu.
 

Umesoma lakini nadhani hujanielewa ....na hiyo sura yangu umeiona wapi...!!!??? lakini hayo ndo nanayoongea mwanamke lazima uwe na heshima na ustarabu....lakini kwa malezi yetu ya siku hizi ni wachache wanakuwa na staha na heshima...kama hapo umejibu na kutukana sura yangu...!!! kwani ukujibu kistarabu unapungukiwa nini ???? utaonekana mshamba au..???...? utapata shida sana kuishi na mwanaume anae jitambua kama kweli ndo una tabia kama hiyo....badilika
 
Mwanaume anayetumia neno " aka" huku kwetu tunamchanganya kwenye lile kundi la " Either".
Napata shida kidogo nikijaribu kutafakari mlengo wa Chama chake cha Siasa.
 
Hahahahahahahahahaaa mkuu umeniacha hoi kabisa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…