Heart
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 2,673
- 1,712
Mwanaume kazi sura hata mbuzi anayo!
Tenaaaaaaa:thumbup:
Mwanaume kazi sura hata mbuzi anayo!
hata sisi vigezo na masharti huzingatiwa!
kukukataa wewe ntaona soo coz ya ungwana uliionifanyia, lakini at the same time natakiwa kusikiliza moyo wangu unamtaka nani??.....swali lingine la kujiuliza je wambuzi naye ananipenda kama mi ninavyompenda??Mfano tunakuja mimi na Wambuzi, wewe unamind Wambuzi wambuzi amechuna, na mimi ndiyo hutaki hata kuniona lakini ndoo ninayekusomesha hadi unatamani ubadili namba ya simu. Je utaweza kusema hunitaki mimi ila unamtaka Wambuzi? na Wambuzi na wenzio watakuchukuliaje?
Hivi anayechagua ni mwanaume au mwanamke? Mimi sielewi elewi vizuri hapa
leo hujataja wachaga?????ndio wanaopenda hayo???? maana mada zako usipotaja wachaga haijakamilika
Binti yangu akipata zero form four NAMKULA MWENYEWE!!!! NDO ADHABU HIYO MAANA WANAWAKE WAMEZIDI KUWAZA WANAUME
kuliko wale wengine bora wewmmmmh..hii kali ya mwaka,si laana hiyo sasa???
keleeeeeeeeeeeeeewiiiiiiiii shimboni sha wanaEti mimi nataka Mwanaume awe mtanashati,awe Na Kazi yake ya
Kueleweka, awe na Pesa,awe amesoma soma May Be Chuo hivi hapo Sawa Vingnevyo tupa Kulee, Wewe Mbona umeishia Darasa la saba? hata Chuo Cha Unesi kimekushinda!! unadhani kusoma Kazi rahisi eeh??? Pesa zimekushinda Kutafuta unamuwazia Mwenzako ndo awe Na Pesa ili uje uzitumie Viuzri, Unakaa Kujidai Unachagua Wanaume wakutembea nao wakati we Mwenyewe vigezo huna...Hahaha! Kweli Mnachekasha baadhi Dada zangu. Sasa Wewe Ndo tunatupa Kulee!! Nenda Kasome Kwanza halafu utafute hela ndo useme unataka mwanaume wa hvyo.Nimewaza tu jaman.
Kwa Hisani ya watu wa Uru Kishumundu.
ha h ah ah ah ha...................... ndo manake ndugu ukwajumbona keshawataja!!!!
aliposema kwa Hisani ya watu wa Uru Kishimundu hapo Uru ni karibu na Mjini Moshi sasa asubuhi kina dada wanateremka Mjini Moshi na mabeseni yana Maparachichi na ndizi kichwaniwakishayauza wanatembea kwa miguu tena kurudi Uru huku njiani wakitafuna miwa (Hii hali imeiambukiza miji mingi kina mama kutembea na mabeseni Kichwani hata hapa Dodoma kina mama wa Ntyuka huja mjini kulangua nyanya, karanga na mbogamboga km kina mama wa Uru-Kishimundu Wambuzi hivi hawa Wanawake wanaotaka wasomi ndio hao wa Kishimundu?
Eti mimi nataka Mwanaume awe mtanashati,awe Na Kazi yake ya
Kueleweka, awe na Pesa,awe amesoma soma May Be Chuo hivi hapo Sawa Vingnevyo tupa Kulee, Wewe Mbona umeishia Darasa la saba? hata Chuo Cha Unesi kimekushinda!! unadhani kusoma Kazi rahisi eeh??? Pesa zimekushinda Kutafuta unamuwazia Mwenzako ndo awe Na Pesa ili uje uzitumie Viuzri, Unakaa Kujidai Unachagua Wanaume wakutembea nao wakati we Mwenyewe vigezo huna...Hahaha! Kweli Mnachekasha baadhi Dada zangu. Sasa Wewe Ndo tunatupa Kulee!! Nenda Kasome Kwanza halafu utafute hela ndo useme unataka mwanaume wa hvyo.Nimewaza tu jaman.
Kwa Hisani ya watu wa Uru Kishumundu.
Kiranga we ni mpinzani wangu wa kitambo, ngoja nikuache