Mademu msije anza 'shobo' kwa Samatta

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
SAMA copy.png

mademu msianze shobo kwa samatta huyo ndiye mchumba wake
 
Wanawake huwa wanapenda mtu ambaye tayari yupo juu.

Ivi mwanamke unajua mwanaume atakuthaminije akigundua ulimpenda na kumkubali wakati hana kitu!!
namshauri tu kama ana watoto wa nje asiwatupe maana ni kipaji hapo
 
Hivi vimiili vyetu vitamu jamani?
Hongera Samatta kwa kuwa na mchumba mrembo....super model.
Mmependezana sana.
 
Hivi vimiili vyetu vitamu jamani?
Hongera Samatta kwa kuwa na mchumba mrembo....super model.
Mmependezana sana.
Alaa... kumbe? Ngoja nikutokee PM.

BTW, kwa taarifa yako ni kuwa Samatta ni ndugu yangu. Nimejua jana tu. So usijali hutakuwa umeenda pabaya tukikubaliana PM huko.
 
Alaa... kumbe? Ngoja nikutokee PM.

BTW, kwa taarifa yako ni kuwa Samatta ni ndugu yangu. Nimejua jana tu. So usijali hutakuwa umeenda pabaya tukikubaliana PM huko.
Hahahahaaaa undugu huo uliogundulika jana mbona hatari?
Ama kweli pata uthaminiwe.
 
Back
Top Bottom