PesaNdogo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2013
- 1,994
- 1,294
Unapima kina cha maji kwa 'kudumbukia' mwili mzima, mengine ni maji marefu sio saizi yako.Nimeingia club namwona Demu anakunywa ndovu lager namwomba kampani anakubali namwita waitress halafu Demu anaagiza Dompo.Aisee hii atalipa mwenyewe na nishamwambia waitress Mimi nalipia ndovu tu.
Pumbaaafu