Na hiyo bei ya dompo ni ya club pia? isijekuwa huko club dompo ni elfu 50..kama ndovu ni elfu 5.Sasa ungemnunulia ndovu ngapi? Elf 15 ya dompo ni ndovu tatu tu club!! Na bado hata saa tano haijafika.
Tena naona huyo ana busara sana. Angeagiza ndovu angekutia hasara
Wewe ni aina ya wanaume mzigo, kama huwezi kumuhudumia mwanamke ya nini umuombe Kampani?Nimeingia club namwona Demu anakunywa ndovu lager namwomba kampani anakubali namwita waitress halafu Demu anaagiza Dompo.Aisee hii atalipa mwenyewe na nishamwambia waitress Mimi nalipia ndovu tu.
Pumbaaafu
oyā mokada katā karanna utsāha karannē kumak da?Al junun funun alwak khalfan waheed!
Nyani ngabu unakichapa cha wafunga vilembaAl junun funun alwak khalfan waheed!
Hahaha acha ubahili weweNimeingia club namwona Demu anakunywa ndovu lager namwomba kampani anakubali namwita waitress halafu Demu anaagiza Dompo.Aisee hii atalipa mwenyewe na nishamwambia waitress Mimi nalipia ndovu tu.
Pumbaaafu
Al junun funun alwak khalfan waheed!
Stupid you...!
Msimlaumu ndio mara yake kwanza kwenda club,Huku tunakoenda watoto wa kike tutawapa priority kuliko hawa boys, yani issue ya dompo elfu kumi na tano unakuja kulia lia humu? Too bad!
Sasa angeagiza absolut au hennessy shots si ungezimia kabisa!!Nimeingia club namwona Demu anakunywa ndovu lager namwomba kampani anakubali namwita waitress halafu Demu anaagiza Dompo.Aisee hii atalipa mwenyewe na nishamwambia waitress Mimi nalipia ndovu tu.
Pumbaaafu
Alafu gari yenyewe huna..Nimemwambia Gari nimepaki vibaya kumbe ndiyo nasepa
Kuna rule inasema huruhusiwi kubadili kinywaji?Siyo ubahili kwanini abadilishe kinywaji?