chifusongea
Senior Member
- Jan 8, 2016
- 164
- 154
Usilipe mkuu jifanye unaenda kukojoa usepe mazima hii mijitu majizi sana
Bora hawa viumbe ni shidaNimemwambia Gari nimepaki vibaya kumbe ndiyo nasepa
Mshamba we, huna maana kabisa, ngese likubwa wewe, nyooooooNimemwambia Gari nimepaki vibaya kumbe ndiyo nasepa
Mwenyewe umepaukaaa, halafu unajidai kubonyeza kisimu chako hapa, nyoooooooNimeingia club namwona Demu anakunywa ndovu lager namwomba kampani anakubali namwita waitress halafu Demu anaagiza Dompo.Aisee hii atalipa mwenyewe na nishamwambia waitress Mimi nalipia ndovu tu.
Pumbaaafu
Umeamua kuja kunitangaza kwa sh. 10000 njoo nikulipie bili ya mwezi mzimaNimeingia club namwona Demu anakunywa ndovu lager namwomba kampani anakubali namwita waitress halafu Demu anaagiza Dompo.Aisee hii atalipa mwenyewe na nishamwambia waitress Mimi nalipia ndovu tu.
Pumbaaafu
Kijitu chenyewe kifuuupi!!!! Utafikiri mchele, hapa mjini babuueNimemwambia Gari nimepaki vibaya kumbe ndiyo nasepa
mbona umejaa sumu sana ilishawahi kukutokea nini dadaMtu
Mwenyewe umepaukaaa, halafu unajidai kubonyeza kisimu chako hapa, nyooooooo
Acha kutulisha MILO braza,hyo club gani bongo unaletewa vinywaj kabla ya pesa(post paid) namm nije?Nimemwambia Gari nimepaki vibaya kumbe ndiyo nasepa