Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
" Watu wanatekwa na juzi IGP ni shahidi nampongeza sana, kasema wamefanikiwa kupunguza utekaji, maana yake IGP anawajua wanaoteka ndiyo maana ameweza kuwadhibiti. Sasa mimi wito wangu kwa IGP, ili watu waweze kuwa na amani ya kweli, nampongeza kwa kupunguza matukio ya utekaji lakini watanzania wangependa IGP na watu wake wote wakomeshe kabisa vitendo vya utekaji sio kupunguza" - Wakili Peter Madeleka kupitia kipindi cha One on One with Charles William cha Wasafi TV.