Made for Africa

Hiyo ni dharau kwa waafrika inamaana tunawaza hapo chini tuu na kutunza kitambi
 
hakuna kitu kama hiki Afrika mkuu mbona kuna wabunifu wengi sana wamavazi siku hizi sema tukonyesha hiki kitu kimetoka hk hk.
 
Boflo hiyo Avatar yako ndo kusema nawe unakubaliana na hayo makitu au? ibadilishe basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…