Madawa ya Kulevya Part 2: Yanayojiri Central Police, Sirro awatimua wananchi na wanahabari Central

Wakuu bila shaka mnafahamu kuwa leo ndiyo siku rasmi iliyoamuliwa na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kwa watuhumiwa wa madawa ya kulevya kuripoti central police station.

Nipo eneo la tukio. Kaeni mkao wa kula kwani mtu mzima nipo hapa kuwaletea kila tukio litakalojiri.

Update 1
Kuna idadi kubwa ya waandishi wa habari hapa sijawahi kuona mfano wake tangu enzi za adamu na hawa.

Update 2

Gwajima na Manji wameshushwa hapa muda si mrefu. Sijaweza kufahamu haraka haraka kuwa walikuwa wapi?
Muweke na picha,sio talalila tu
 
Habari wanaJF

Aliyewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Kinondoni, Idd Azzan ameripoti Kituo Kikuu cha Polisi kuhojiwa kuhusu tuhuma za kuhusika na Dawa za Kulevya.

Taarifa kwa hisani ya JamiiForums Twitter;
jf.png
 
Inawezekana. Kwani watahojiwa na mtu/timu moja peke yake? Wanaweza kugawanywa kwenye magroup ya watu watano watano; hapo unapata groups 13. Vidagaa vinaweza kuhojiwa na timu zitakazoongozwa na ma-Kamishina Wasaidizi Waandamizi wa Polisi(SACP); visangara vikahojiwa na timu za ma-Naibu Kamishina wa Polisi(DCP); mapapa wakahojiwa na timu za ma-Kamishina wa Polisi(CP); na manyangumi yakahojiwa na DCI/DPP. Wakiamua hili ni zoezi la masaa kama sita tu; wakuachiwa na watakaopelekwa selo kwa uchunguzi zaidi watakuwa wamejulikana.
Dar kuna SACP wangapi na DCP wangapi ?
 
Wakuu bila shaka mnafahamu kuwa leo ndiyo siku rasmi iliyoamuliwa na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kwa watuhumiwa wa madawa ya kulevya kuripoti central police station.

Nipo eneo la tukio. Kaeni mkao wa kula kwani mtu mzima nipo hapa kuwaletea kila tukio litakalojiri.

Update 1
Kuna idadi kubwa ya waandishi wa habari hapa sijawahi kuona mfano wake tangu enzi za adamu na hawa.

Update 2

Gwajima na Manji wameshushwa hapa muda si mrefu. Sijaweza kufahamu haraka haraka kuwa walikuwa wapi?

Update 3

Aliyekuwa mbunge wa Ilala Idd Azzan amewasili muda huu tayari kuhojiwa.
Tupiamo japo kapicha mkuu kwa uthibitisho wa maelezo yako.
 
Wakuu bila shaka mnafahamu kuwa leo ndiyo siku rasmi iliyoamuliwa na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kwa watuhumiwa wa madawa ya kulevya kuripoti central police station.

Nipo eneo la tukio. Kaeni mkao wa kula kwani mtu mzima nipo hapa kuwaletea kila tukio litakalojiri.

Update 1
Kuna idadi kubwa ya waandishi wa habari hapa sijawahi kuona mfano wake tangu enzi za adamu na hawa.

Update 2

Gwajima na Manji wameshushwa hapa muda si mrefu. Sijaweza kufahamu haraka haraka kuwa walikuwa wapi?

Update 3

Aliyekuwa mbunge wa Ilala Idd Azzan amewasili muda huu tayari kuhojiwa.
COME ON MBUNGE WA KINONDONI, ILA AHSANTE KWA UPDATES
 
Siku moja ina Masaa 24.
Hakuna namna utawahoji watu 65 hata kama wakihojiwa usiku kucha bila Break

Huku ni kutoka mbio ilhali huna break! Wametakiwa kuripoti, suala la kuhojiwa waachie wenye kazi yao, wapi palipoandikwa lazima watu wote wahojiwe siku moja mpaka uanze kutueleza kuwa unafahamu siku ina masaa mangapi?
 
Back
Top Bottom