Madawa ya Kulevya: Mtanzania aishie Marekani ashtakiwa kwa kuingiza heroin nchi humo

Abanwe aeleze hayo madawa huku Tanzania alikuwa anayapata kwa nanni? Kweli huu Ni mtandao lakini Nina imani Na serikali ya marekani itawasaka ila kwa serikali ya Tanzania sina imani nayo.
 
Hahaha hahaha!!

Thank you, Labda sasa atakoma kusema uongo.

Hapa ndipo huwa naona Religion is mankind Opium, yani wewe hapa unadhani tunabishania Uislamu na ukristo?

Pole yako.

Sasa wapi hapo mkuu Mahmood kaleta uislamu au ukristo!
Mbona we mtoto unachanganyikiwa fasta namna hii?
We sisi tulichofanya ni Kukukataza UONGO! Khalas.
Mambo ya uongo Ya Kujikweza Hayakufai.
Utakuwa unaadhirika kila siku.
 
Last edited by a moderator:
Sitoki kwenye hii thread kwa ajili ya kuufuatilia huu "mpambano".
 
JF kuna vituko sana huyu Motola anadanganya watu halafu watu wanampa like.

Mkuu nacheka vibaya mno hapa!.
😅😅😅😅😅.

Sasa huyo anaetoa Like sijui ana hali gani!

Dahhh!
 
Last edited by a moderator:
Sasa wapi hapo mkuu Mahmood kaleta uislamu au ukristo!
Mbona we mtoto unachanganyikiwa fasta namna hii?
We sisi tulichofanya ni Kukukataza UONGO! Khalas.
Mambo ya uongo Ya Kujikweza Hayakufai.
Utakuwa unaadhirika kila siku.

Mkuu nacheka vibaya mno hapa!.
😅😅😅😅😅.

Sasa huyo anaetoa Like sijui ana hali gani!

Dahhh!

Subirini tu mtakimbia wote hapa.
 
Attachments

  • 1417497249654.jpg
    1417497249654.jpg
    6.9 KB · Views: 243
Last edited by a moderator:
Mkuu nacheka vibaya mno hapa!.
😅😅😅😅😅.

Sasa huyo anaetoa Like sijui ana hali gani!

Dahhh!
Hivi mtu unaweza kutoka karikoo kwa ndege mpaka Chalinze.

Teh teh teh labda alitumia Motola Airlines.
 
Subirini tu mtakimbia wote hapa.

Hii nini tena mkuu?
Mi naona picha ya Uda Lililo ungua na Katonta mmoja yuko pembeni.

Vipi Matola unatumia Simu ya Kichina?

Manake hii picha haieleweki kabisa.
Au na hio Mobile Ilinunua Canada?

Teh teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Subirini tu mtakimbia wote hapa.

Matola, wala usibishane nao mimi hiyo ya Gatwick to Heathrow niliipita miaka ya mwanzo 2000 - 2003 nilikuwa natoka US naenda bongo thru umangani. Haikusaidii kubishana na asiyekubali.
 
Hivi mtu unaweza kutoka karikoo kwa ndege mpaka Chalinze.

Teh teh teh labda alitumia Motola Airlines.

Haha ha ha ha ha!

Shariff Unapasua mbavu zangu leo!

Hio ndege Kabla haijapaa vizuri imeshavuka Morogoro! Inabidi ipigwe Reverse!

Teh teh teh teh!
 
Hii nini tena mkuu?
Mi naona picha ya Uda Lililo ungua na Katonta mmoja yuko pembeni.

Vipi Matola unatumia Simu ya Kichina?

Manake hii picha haieleweki kabisa.
Au na hio Mobile Ilinunua Canada?

Teh teh teh teh!
Huyu jamaa uwa anawapata kweli watu wakuwadanganya.
 
Last edited by a moderator:
Wasting of ur time, topic ni madawa ya kulevya, kama unasubiri meli airport pole sana.

Mkuu wangu Matola Kweli kabisa Topic ni madawa ya Kulevya Lkn Wewe umeivuruga Kuingiza UONGO na Kujikweza Kuwa Umevuruga Viwanja Kila kona.

Sasa mbona hujatutajia Hilo jina la hio Ndege Uliosafiria Kwenda huko Canada?
Au Km vipi we Taka radhi tu kwa Kutudanganya Hapa ili Tuendelee na Malumbano mengine.
 
Last edited by a moderator:
Ni siri iliyowazi kwamba Tanzania sasa ni kuna storage kubwa ya madawa ya kulevya. Siku hizi hatusikii watu kukamatwa wakijaribu kuingiza madawa bali wanakatwa wakijaribu kuyabeba na kutoka nayo. TISS na polisi mko wapi kufichua hizi stores za madawa haya?

Tiba
juzi kati pangani tanga...kwenye kijiji cha kipungwi kuna wapakistan walimwaga unga mwingi kweli baharini....ili wasikamatwe.....zaidi ya kg 400..basi wananchi sehemu ile wacha waokote mifuko na mifuko ya ngada...kg 1 ya ngada iliuzwa hadi 100, 000/ mwanzoni walikuwa hawajui baadaye wakaawa wanauza hadi 1, 000, 000 na zaidi kwa kg1
watu walizifukia chini .....nzowa alienda lkn holla
ma dealer walitoka dar to tanga huko kufata mzigo...kununuaaaa ...nashanga habari haijatokea kbsa ktk vyombo vya habari....
kweli mkuu tz kuna shehena la ngada hatari
 
Matola, wala usibishane nao mimi hiyo ya Gatwick to Heathrow niliipita miaka ya mwanzo 2000 - 2003 nilikuwa natoka US naenda bongo thru umangani. Haikusaidii kubishana na asiyekubali.

Teh teh teh!
We unadhani Kujiita YE kunabadilisha Ule UONGO WAKO wa AWALI?

Kubali kiume kuwa Umesema UONGO! full stop.

Hebu tutajie hio ndege Iliotoka Heathrow to Gatwick.
Na ni ndege gani ya Kutoka US kwenda Umangani Iweze Kuruka na kutua Umbali wa Mile 38?

Tunaomba Jina La Kampuni Ya ndege Tafadhali. Au ntawaomba Mods Wawachangamshe Kidogo kwa Uongo wenu.
 
Last edited by a moderator:
juzi kati pangani tanga...kwenye kijiji cha kipungwi kuna wapakistan walimwaga unga mwingi kweli baharini....ili wasikamatwe.....zaidi ya kg 400..basi wananchi sehemu ile wacha waokote mifuko na mifuko ya ngada...kg 1 ya ngada iliuzwa hadi 100, 000/ mwanzoni walikuwa hawajui baadaye wakaawa wanauza hadi 1, 000, 000 na zaidi kwa kg1
watu walizifukia chini .....nzowa alienda lkn holla
ma dealer walitoka dar to tanga huko kufata mzigo...kununuaaaa ...nashanga habari haijatokea kbsa ktk vyombo vya habari....
kweli mkuu tz kuna shehena la ngada hatari

Mkuu hizi habari za Kuhadithiana Kwenye Vilabu vya pombe za kienyeji hata mimi huwa naziskia.

We hujaskia kuwa Sokoine kaonekana Pale Feri Kigamboni Ananunua Samaki wakavu halafu kabla watu hawajamkamata akapotea ghafla.?
Na nyerere pia Kaonekana juzi pale kwenye Mnara wa Polisi Samora Kashkilia Kibao Kimeandikwa ESCROW! Halafu anacheka vibaya sana.

Yaani haya Mataputapu BALAA mkuu.
 
Hapa ndipo huwa naona Religion is mankind Opium, yani wewe hapa unadhani tunabishania Uislamu na ukristo?

Pole yako.

endelea na ubish wa mada husika Matola mambo ya dini yanini tena?mada inahusu unga na watanzania tuijadili,wewe ukachombeza mambo ya safar zako,watu nao wamekupinga wape facts kurhibitisha ww si muongo sasa mambo ya UISLAM na UKRISTO yanini?
 
Last edited by a moderator:
Huyu Baisi si mhaya huyu? Hivi nyie wahaya nini kimewapata siku hizi, mmeingilia deal za wachaga?

Una maana Wachaga Kina 2013 ndio wauza Poda Eee!

Mbona unawapa cheo likubwa namna hii?
Hawa ni wauza Mbege tu.
Wakizidisha saana Kimpumu.

Na Ile Juice ya uharo wa Mbuzi uliochanganywa na Damu.
Wanauita kisusio..

Ovyo sana hawa jamaa.
 
Last edited by a moderator:
juzi kati pangani tanga...kwenye kijiji cha kipungwi kuna wapakistan walimwaga unga mwingi kweli baharini....ili wasikamatwe.....zaidi ya kg 400..basi wananchi sehemu ile wacha waokote mifuko na mifuko ya ngada...kg 1 ya ngada iliuzwa hadi 100, 000/ mwanzoni walikuwa hawajui baadaye wakaawa wanauza hadi 1, 000, 000 na zaidi kwa kg1
watu walizifukia chini .....nzowa alienda lkn holla
ma dealer walitoka dar to tanga huko kufata mzigo...kununuaaaa ...nashanga habari haijatokea kbsa ktk vyombo vya habari....
kweli mkuu tz kuna shehena la ngada hatari

Shehena Kubwa ya Ngada inayoingia bongo hupitia njia ya maji,na inayokamatwa ni 10% tu,inamaana 90% huingia sokoni,na kwa ukanda wa SADC Tanzania ndo inaongoza kwa kuingiza unga
 
Back
Top Bottom