Madawa ya Kulevya: Mtanzania aishie Marekani ashtakiwa kwa kuingiza heroin nchi humo

Mkuu wangu nakushauri unapochangia jambo hakikisha uko well informed au una ufahamu mpana juu ya unachokisema.

Italy iko barani ulaya na pia Italy ni mwanachama wa EU na pia Italy ipo kwenye itifaki ya Sheghen contries/ Sheghen viza.

Hivi unataka kuniambia Malawi ni tajili kuliko Tanzania ambapo mpaka juzi tu walikuwa wanaingia kwa entry Uingereza?

Ok mimi mara ya kwanza nimeingia South Africa kwa Viza na leo hata wewe ukitaka kusafiri leo leo kwenda South Africa unakata ticket unapanda ndege unaondoka je Tanzania imegeuka kuwa nchi tajili?

Siko well informed, mbumbumbu. Lakini illegal migration na overstay ndio sababu ya watanzania na watu wa nchi zingine kutakiwa kuwa na visa.

Na kuhusiana na Malawi. Wanatakiwa kuwa na visa na tena wanalipia kwa kutumia South African Rand. Ukitaka website zenye information hizo nitakupa.

Kuhusiana na South Africa, legacy za vita vya ukombozi zinawafanya kutunea aibu tu.
 
Hili siyo swala la Anti-wabeba box Presidaa sidhani kama hata wewe wewe unabariki raia wako kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya na inapigwa vita kila mahala.

Mtu yeyote anayechafuwa taswira ya Tanzania si wakuchekewa hata kidogo na nitakupa mfano mdogo sana.

Mwaka 1996 nilikwenda Canada, London Eathrow to Gatwick kwa ajili ya kubadili ndege ilikuwa ni issue ya transint ya kawaida kabisa hata kama ingebidi kulala London na hata kuingia Uingereza Watanzania tulikuwa hatutumii Visa.

Wapemba na CUF yao wakatuharibia UK wote wakiingia wakimbizi wa kisiasa, Nilipokuwa Canada niliona watu wakiingia Marekani kwa urahisi kwa kutumia border ya Canada na US Osama na watu wake wakaharibu Marekani ikafuta viza za border kwa mataifa mengi sana, sasa huyu raia wako unajuwa huu ujinga aliofanya una impact gani kwa nchi yetu?

Kuna viju vinakera sana miaka kama 10 na kitu iliyopita nilikuwa naelekea South Africa kufika border ya Zimbabwe na South Africa upande wa South Beitbrigde border kwenye bus abiria Mtanzania nilikuwa peke yangu wale Polisi waliniweka pembeni nilipigwa sachi mpaka bus likaniacha mpaka msamalia mwema mmoja akanishauri next time kama unakuja South Africa kwa bus ukifika Lusaka panda mabasi yanayomilikiwa na mkaburu wenyewe Greyhound au Translux mkifika border driver anakusanya passport zenu wote na zinagongwa entry mnapita na kama kuna issue ya customs wanakuclear faster nilipatwa na unyanyasaji wote huu kwakuwa jina la Tanzania tayari lilishakuwa chafu kwa biashara ya dawa za kulevya kwa hasira siku ya kurudi nikakata one way ya ndege kutuwa Bongo yaleyale nikawekwa pembeni masaa ndege 3 zinashusha abiria mimi sijatoka arrival kisa kumbe bakari Malima ndio kipindi alikamatwa na Mandrax kutoka Souka South Africa ambako ndiko sokoni.

Ha ha ha ha ha!

Kudadaadadadeki mtoto muongo balaa wewe!
Duhh!

Yaani unasema ulikwenda Canada, London Eathrow to Gatwick kwa ajili ya kubadili ndege!

We kweli hujui hata kudanganya.

Hapa ni sawa na Kusema Ulikwenda Kenya, Mwanza to Zanzibar kubadili ndege wakati wewe ni raia wa Zambia.

Teh teh teh teh!

Heathrow ni wapi! Na Gatwick ni wapi!

Kutoka Heathrow mpaka Gatwick ni umbali wa miles 38 tu ambao ni mwendo wa Chini ya dakika 40.

Ushahidi huu hapa.

1417494354211.jpg

Sasa wewe utoke Dar kuelekea Canada Halafu Upitie Heathrow na Gatwick kufanya Nini? Halafu ni ndege gani Inafanya trip ya Ajabu namna hii! Hebu tuwekee Jina hapa.
Unapenda Kudanganya Wakulima km wewe na naona unawapata kweli manake kuna Mbulula hapo chini kakupa ""LIKE""

ha ha ha ha ha!

Mtoto una laana wewe! Dahh!

Mara milionare, mara mkurugenzia wa kampuni Kuuubwa!
Mara Ulikimbia Uhujumu Uchumi! Wakati toto lenyewe hata miaka 30 halijavuka!

Mi km ni Mods Nakupiga ban ya fasta ya mwezi kwa Kusema Uongo!

Dahhh!
 
View attachment 207242

Huyo punguani muongo sana Heathrow to Gatwick ni sawa kutoka Kawe mpaka Mbagala ni mile 38 unapanda ndege.

Leo nimecheka mpaka mbavu zinauma.

Teh teh teh teh
 
Wewe siyo size yangu, wewe unatumia google mwenzanko nimepita humo pole sana unajidhalilisha bure.

Yani unapoteza muda wako kwenda google ili uje kubishana usichokijuwa pole sana.
You're the next.
 
Attachments

  • 1417494973746.jpg
    1417494973746.jpg
    63.5 KB · Views: 206
Huyo punguani muongo sana Heathrow to Gatwick ni sawa kutoka Kawe mpaka Mbagala ni mile 38 unapanda ndege.

Leo nimecheka mpaka mbavu zinauma.

Teh teh teh teh

Ha ha ha ha. Matola ananitishia IGNORE LIST!

😅😅😅😂😂😄😄
 
Last edited by a moderator:
Wewe siyo size yangu, wewe unatumia google mwenzanko nimepita humo pole sana unajidhalilisha bure.

Yani unapoteza muda wako kwenda google ili uje kubishana usichokijuwa pole sana.
You're the next.

Matola mi japo Sijafika huko lkn Huo ndio ukweli.
Mimi najivunia huku Usukumani Ninakoishi.
NALIMA na Kuchunga Ng"ombe.

Sasa wewe ya nini KUSEMA UONGO?
 
Nina umri wa kutosha sijishughuri kamwe na akili nyepesi tena au mijadala isiyo na tija.

Lets assume mimi ni kama Profesa Muhongo nimelidanganya bunge turudi kwenye topid ni madawa ya kulevya. Sioni faida ya malumbano yasiyo na tija na Anonymous.
 
Ha ha ha ha ha!

Kudadaadadadeki mtoto muongo balaa wewe!
Duhh!

Yaani unasema ulikwenda Canada, London Eathrow to Gatwick kwa ajili ya kubadili ndege!

We kweli hujui hata kudanganya.

Hapa ni sawa na Kusema Ulikwenda Kenya, Mwanza to Zanzibar kubadili ndege wakati wewe ni raia wa Zambia.

Teh teh teh teh!

Heathrow ni wapi! Na Gatwick ni wapi!

Kutoka Heathrow mpaka Gatwick ni umbali wa miles 38 tu ambao ni mwendo wa Chini ya dakika 40.

Ushahidi huu hapa.

View attachment 207242

Sasa wewe utoke Dar kuelekea Canada Halafu Upitie Heathrow na Gatwick kufanya Nini? Halafu ni ndege gani Inafanya trip ya Ajabu namna hii! Hebu tuwekee Jina hapa.
Unapenda Kudanganya Wakulima km wewe na naona unawapata kweli manake kuna Mbulula hapo chini kakupa ""LIKE""

ha ha ha ha ha!

Mtoto una laana wewe! Dahh!

Mara milionare, mara mkurugenzia wa kampuni Kuuubwa!
Mara Ulikimbia Uhujumu Uchumi! Wakati toto lenyewe hata miaka 30 halijavuka!

Mi km ni Mods Nakupiga ban ya fasta ya mwezi kwa Kusema Uongo!

Dahhh!

Hahaha hahaha!!

Thank you, Labda sasa atakoma kusema uongo.
 
Ni siri iliyowazi kwamba Tanzania sasa ni kuna storage kubwa ya madawa ya kulevya. Siku hizi hatusikii watu kukamatwa wakijaribu kuingiza madawa bali wanakatwa wakijaribu kuyabeba na kutoka nayo. TISS na polisi mko wapi kufichua hizi stores za madawa haya?

Tiba
 
teh teh mambo ya mwanadayasipora hayo.si mnasemaga huko mamtoni maisha ni izee tu.kulikoni sasa.!!!
halafu ukute alikuwa member maarufu wa jf,
 
Back
Top Bottom