Madawa kulevya ni janga arusha

wamadish

JF-Expert Member
Jan 17, 2013
438
87
Wakuu poleni na majukumu! Eti naombwa kujuzwa ni kwa nini asilimia kubwa ya vijana wa arusha ni watumiaji sana wa MIRUNGI? yaani wengi wao kila unayepishana nae mdomo wake umevimba upande mmoja, je kwa watalamu wa afya hili sio janga kiafya? maana niko na mtu hapa naongea nae naona yeye muda wote ni kutafuna tu na bigjee nyingi je na mikoa mingine hali ipoje? hembu tulijadili hili wakuu,,,
 
sunna;Mirungi cio madawa ya kulevya pambaf Hapa tunaeleweshana na co matusi usipotaja hilo neno la mwisho hujiskii vzr sio au na wewe mmoja wapo?
 
Mirungi ni stimulant kama ilivyo kahawa au chai tofauti ni kuwa mirungi inaliwa kama raw veggie. Inaongoza kama export product kwenye baadhi ya mikoa Kenya...inaexportiwa. Kwenda UK, Holland, north America kama African vegetables.kwa kifupi sio drug Bali enzi za mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani alipiga marufuku toka wakati huo polisi hukamata watu lakini. Kwa arusha haikamatwi ni jambo la kawaida.
 
Wakuu poleni na majukumu! Eti naombwa kujuzwa ni kwa nini asilimia kubwa ya vijana wa arusha ni watumiaji sana wa MIRUNGI? yaani wengi wao kila unayepishana nae mdomo wake umevimba upande mmoja, je kwa watalamu wa afya hili sio janga kiafya? maana niko na mtu hapa naongea nae naona yeye muda wote ni kutafuna tu na bigjee nyingi je na mikoa mingine hali ipoje? hembu tulijadili hili wakuu,,,

Kuvimba shavu wengine wanaumwa na jino,sio kila mtu ni mrungi,pia ungejaribu ungejua utamu wake.
 
Mirungi ni stimulant kama ilivyo kahawa au chai tofauti ni kuwa mirungi inaliwa kama raw veggie. Inaongoza kama export product kwenye baadhi ya mikoa Kenya...inaexportiwa. Kwenda UK, Holland, north America kama African vegetables.kwa kifupi sio drug Bali enzi za mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani alipiga marufuku toka wakati huo polisi hukamata watu lakini. Kwa arusha haikamatwi ni jambo la kawaida.

he!......wewe......
 
Back
Top Bottom