Matumizi ya madawa ya kulevya kwa vijana

Said Cosmetics

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
2,001
1,586
Kulingana na data inaonyesha kwamba nchi ya tatu kwa matumizi ya madawa ya kulevya ni Afghanistan. Chanzo kikuu ni umaskini uliokithiri kwa vijana wengi.

Je, nchi ya kwanza na ya pili kwa matumizi ya madawa ya kulevya ni zipi? Tufanye nini ili kuhakikisha tunatokomeza hili janga linaloangamiza nguvu kazi ya Taifa?

Sources: Aljazeera
 
Back
Top Bottom