Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,466
Mungu akusaidie na akuponye upofu wa ubongo wakoIla angekua trump mngemsifu kua ana ulinzi mkali na msafara mzuri
Mungu akusaidie na akuponye upofu wa ubongo wakoIla angekua trump mngemsifu kua ana ulinzi mkali na msafara mzuri
Mungu akusaidie na akuponye upofu wa ubongo wakoIla angekua trump mngemsifu kua ana ulinzi mkali na msafara mzuri
Ukiondoa title ya urais na vingine,hao tu walio ndani ya hizo gari wanashindwa Weka mafuta hayo magari kwa mishahara au pesa zao wenyewe? sidhani kama magari ni issue kwakweli.Mkuu huyo ni rais hapo Kuna magali ya ulinzi wake Kama rais kuna polisi Kuna ccm wenyewe kuna wasindikizaji hao na viongozi mbalimbali so lazima magari yawe mengi la kujadili ni Kama utakuwa na ushahidi wa hila juu ya utumiaji wa Mali za umma.. ccm awamu zote 5 madarakani wakose hizo v8.. 😅
Hata Kama ni wewe think twice hapo.. swala si magari tuonyeshe ubadhilifu..
CHAUMA DAMUDAMU.. wametunyima na wali takukuru wenu wanasema ni rushwa! Wivu tu..😅
Mimi nilishuhudia mkutano mmoja wa Nyerere akiomba kura. Alipiga kampeni mufindi wakati ule. Alikuja na landrover 109Natamani kama ingelitokea Nyerere naye angefanya hata kampeni za kutetea kiti chake kama ingeliwezekana. Nadhani tungepima kitu
Yamebandikwa stika tuu. Kampeni zikiisha zinabanduliwaNa hayo yenye rangi ya kijani pia ni ya Serikali yaliyobadilishwa rangi na matumizi.
Mwaka gani huo mkuu na alikuwa hapo nyumbani sehemu ipiMimi nilishuhudia mkutano mmoja wa Nyerere akiomba kura. Alipiga kampeni mufindi wakati ule. Alikuja na landrover 109
Una akili mingi sana arawa. Jibu kamilifu😍😍😍😍👍Ukiondoa title ya urais na vingine,hao tu walio ndani ya hizo gari wanashindwa Weka mafuta hayo magari kwa mishahara au pesa zao wenyewe? sidhani kama magari ni issue kwakweli.
nitashangaa kuona mtu anamshangaa Tajiri yeyote kuendesha/kutumia gari zinazokula mafuta kwa mishe zake za kawaida tu,itakua ajabu ukiacha wadhifa na mambo mengine hivi mgombea u rais kwa ticket ya ccm unafkri ni hohe hahe wakushindwa hudumia V8? hata akibaki kama mwananchi wa kawaida V8 itakua ndio gari yake ya kwendea sokoni tu.
sembuse sasa hivi bado yupo madarakani + udhamini juuu? tusubiri zibaki kama wiki mbili hivi tuone atavyokua anazurura na chopper huko angani,watu tuelewe kua hizi hela sio zote ni kodi zetu ifahamike pia Huyu mtu ana wadhamini wakutosha wenye mikwanja mirefu mirefu wanaoweza simamia shooo ya usafiri wa Ardhi kwa kipindi chote cha kampeni.
kushangaa magari 50 tena V8 mi naona huko ni kutotumia akili zetu vizuri,labda haya magari tungeona yanafanyia kitu kingine tofauti na kampeni "atleast" tungeweza sema kitu ila tofaut na hapo v8 hata zingekua 200 zinafatana "ni haki yake kwa huyu mgombea" PESA IPO bana. Asipokua nayo yeye wadhamini wanazo,asipowea yeye Kuna kina sisi tushatia mzigo ndani SASA kwann mtu asitumie V8 50? Bado hatujaona mengi mbona Tutashangaa mpk tushae,kama V8 50 tu tunatoa macho basi mwaka huu tujiandae kutoa mimacho kweli kweli.
Daaah! kweli ndugu yangu unashauri huo msafara ziwekwe Coster na shabiby? hivi unaona watu walivyo na haraka au unahisi wanaenda msibani mkuu? hebu rudia hiyo clip angalia hizo vyuma zinavyochoropoka halafu unataka shabiby ikae nyuma itembee mwendo huoUnalinganusha uchumi wa Marekani na Tanzania? Kwani huo msafara ungekuwa na VX mbili tuu halafu Bus za coaster 3 au Shabib bus 2 wasungefika huko waendako? Any way kwa kuwa kichwani umejaza funza siyo kosa lako...
Kumbuka huyo unayemsema ni rais bado ni rais atauvua urais siku akiapishwa mwingineMadaraka matamu asikwambie mtu...huu ni msafara wa kisiasa wa mgombea urais..Jumla ya magari 60
VX V8 ni pungufu kidogo ya 45, yaliyobaki ni Toyota hard top na Nissan Patrol...Hizi V8 ni gari za kifahari sana na bei yake ni chini kidogo ya million 250 kwa moja..
Magari yote haya yana mafuta full tank na kila gari halipungui watu wane ndani...kwa uchache kabisa ni msafara wa watu 150...
Haya magari na hawa watu ..vyote kwa pamoja vinahudumiwa na KODI ZETU...!!!
Msafara ghali namna hii unapita kwenye miji na vijiji vyenye umaskini wa kutupwa huku huduma za kijamii za msingi zikiwa duni....
Madaraka ni matamu sana ....kilevi cha madaraka ni kibaya kuliko kokeni....ukiweza piga bajeti ya kila siku ya msafara kama huu....mchwa na wale nzige wa jangwani hapa wanasubiri
View attachment 1559120
Jr[emoji769]
Vijana waliobemendwa utotoni utawajua tu
Ila kwa Tz inaonekana ni kuchezea pesa, akili za kimasikini bhana..Ila angekua trump mngemsifu kua ana ulinzi mkali na msafara mzuri
kwa hyo unaamini kabisa kwenye msafara wa rais kuna ngedere mla bata yupo tu hana kazi halafu nae kawekewa nafasi azurure tuu et eeh? Mkuuu huo ni msafara wa Mgombea u Rais ukimuondoa Mama Samia hamna mtu mwingine yeyote anaeweza mkaribia au kuwa ktk msafara wa huyo mtu kama hana la maana.Tujaribu kutumia akili zetu hizi kidogoooo kuwaza tu vitu visivyohtaji hata nguvu nyingi.Uko sahihi ndugu mchangiaji. Ila lengo la comment yangu ni kuwa na shauku ya mtoa mada mZee Mshana Jr. juu ya uwingi wa msafara maana najua sio wote ni walinzi ila lbda kuna wapambe tu ambao hawana kazi wanakula bata kwa kodi kwa mujibu wa mtoa mada.
Knyooko Na ulaniweCCM na Magufuli ni laana kwa Tanzania
Kama alivyoolaanika Magufuli siyo.....Knyooko Na ulaniwe
''Magali'' ni nini? Watoto wa chekechea waseme ''magali'' na wewe mkubwa mzima useme ''magali''? BTW Mtu mwenye uwezo wa namna yako kichwani hata hawezi kuona mantiki ya hii thread. Nyie ndiyo wale nyumbu mnaofikiria serikali ina haki wa kumpiga raia yoyote risasi.Mkuu huyo ni rais hapo Kuna magali ya ulinzi wake Kama rais kuna polisi Kuna ccm wenyewe kuna wasindikizaji hao na viongozi mbalimbali so lazima magari yawe mengi la kujadili ni Kama utakuwa na ushahidi wa hila juu ya utumiaji wa Mali za umma.. ccm awamu zote 5 madarakani wakose hizo v8.. 😅
Hata Kama ni wewe think twice hapo.. swala si magari tuonyeshe ubadhilifu..
CHAUMA DAMUDAMU.. wametunyima na wali takukuru wenu wanasema ni rushwa! Wivu tu..😅