KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,587
- 89,243
Umeeleweka swala ni matumizi makubwa ya gharama huku wananchi wakiwa hoi!..Sijui kwanini imekuwa vigumu kueleweka
Jr[emoji769]
Hiyo ndo system mkuu duniani kote! Usishangae.
Umeeleweka swala ni matumizi makubwa ya gharama huku wananchi wakiwa hoi!..Sijui kwanini imekuwa vigumu kueleweka
Jr[emoji769]
Kwa hiyo uchumi wa trump ndio ufananishe na ssIla angekua trump mngemsifu kua ana ulinzi mkali na msafara mzuri
anajua vyema.Umeeleweka swala ni matumizi makubwa ya gharama huku wananchi wakiwa hoi!..
Hiyo ndo system mkuu duniani kote! Usishangae.
Kwakuwa Trump anaongoza taifa kubwa lenye uchumi mkubwa kama la Tanzania! Trump = MagufuliIla angekua trump mngemsifu kua ana ulinzi mkali na msafara mzuri
CCM kweli hamna akili kabisaIla kutumia ndege ukiviruka vijiji na wilaya bila kuona matatizo ya wapiga kura ni sahihi [emoji116]View attachment 1559125
Makusanyo ya kina Trump ni kiasi gani na wananchi wao kodi zao zinavyotumika ni sawa na huku ambako hata maiti zinawekwa rehani kwa watu kukosa kulipia madeni ?Ila angekua trump mngemsifu kua ana ulinzi mkali na msafara mzuri
kumbe huyu ndo anayekusanya kodi zetu??Ila kutumia ndege ukiviruka vijiji na wilaya bila kuona matatizo ya wapiga kura ni sahihi [emoji116]View attachment 1559125
Tatizo mna kariri sana,siku hizi Government lazima zijiendeshe kisasa na ziwe na vifaa vya kisasa,hatuko enzi ya Mwalimu kutembelea Mandolini!!Kuitetea CCM inataka uwe jasiri na ujitoe akili...
Vichwa vyao sijui vikoje.Ila kutumia ndege ukiviruka vijiji na wilaya bila kuona matatizo ya wapiga kura ni sahihi [emoji116]View attachment 1559125
Hivi huyu akishtakiwa hana kesi ya kujibu???
kwani kwa trump hakuna maskini mbona unajibu ka umekatika kichwa?Kwa hiyo uchumi wa trump ndio ufananishe na ss
Unalinganusha uchumi wa Marekani na Tanzania? Kwani huo msafara ungekuwa na VX mbili tuu halafu Bus za coaster 3 au Shabib bus 2 wasungefika huko waendako? Any way kwa kuwa kichwani umejaza funza siyo kosa lako...Ila angekua trump mngemsifu kua ana ulinzi mkali na msafara mzuri