Madaraka ya KULEVYA! Msafara wa mgombea urais magari 60

Madaraka ya KULEVYA! Msafara wa mgombea urais magari 60

Nyakati ni tofauti pia.
Bila shaka athari ambazo raisi alikuwa analindwa dhidi yake enzi ya Nyerere sio sawa na sasa. Enzi zile adui mkubwa wa viongozi wa Afrika yalikuwa majeshi yao wenyewe yaliyokuwa yakitumiwa na mabeberu.

Siku hizi mabeberu wanatumia kila mtu sio majeshi tu. Kila mwenye njaa, awe mama ntilie, anayedhania yeye ni msomi, wanasiasa, hata mwenzio kitandani.
Uzalendo wa taifa umekwisha tumeiga individualism ya mabeberu ambayo imetuletea ubinafsi. Hivyo kupunguza dau la kununulika kwetu.
Uko sahihi ndugu mchangiaji. Ila lengo la comment yangu ni kuwa na shauku ya mtoa mada mZee Mshana Jr. juu ya uwingi wa msafara maana najua sio wote ni walinzi ila lbda kuna wapambe tu ambao hawana kazi wanakula bata kwa kodi kwa mujibu wa mtoa mada.
 
Uko sahihi ndugu mchangiaji. Ila lengo la comment yangu ni kuwa na shauku ya mtoa mada mZee Mshana Jr. juu ya uwingi wa msafara maana najua sio wote ni walinzi ila lbda kuna wapambe tu ambao hawana kazi wanakula bata kwa kodi kwa mujibu wa mtoa mada.
Asante ndugu, ila mtoa mada akumbuke kuwa kunasheria inayosema maximum amount ya vyama kutumia kwenye chaguzi.
Hapo kodi zetu ni kwa hao TISS na walinzi wake kama raisi. Ni kama vile ulinzi aliopewa Lissu na wagombea uraisi wengine ni kodi zetu.

Otherwise wanatumia pesa zao za uchaguzi.
 
Hivi kabla ya kuandika hii coment ulifikira kwanza?

Trump yupo kwenye nchi ya dunia ya kwanza nchi ambayo kwa sasa wanawaza jinsi ya kuishi mars unakuja kufananisha na nchi ambayo tukijenga choo cha shule kwa msaada wa marekani na tunafanya uzinduzi acha mambo yako.
Ila angekua trump mngemsifu kua ana ulinzi mkali na msafara mzuri
 
Najua Kila kitu ndiyo maana nadhani wewe unahisi kuwa pesa za umma zinatumika isivyo! Ila ujue CCM Ni chamadola na kikongwe Tanzania kina vyanzo vya mapato vingi Sana, siyo Jambo la kushangaza kuona hizo VX V8s zikitumiwa kwa kampeni.
Ok ok sawa...

Jr[emoji769]
 
Kwangu mimi umasikini na unyonge sio sifa ya kuchaguliwa kuwa kiongozi.
Tutumie vitu vizuri kadiri iwezekanavyo kikubwa uwezo tu.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
Umaskini hauwezi kuisha afrika maana umaskini unatumika kama mtaji wa wanasiasa!
Ndomana serikali zinazongoza afrika wao wanataka umaskini uendele kuwepo tu

Ova
 
Wivu, wewe ukipata ndio utafanya zaidi ya hayo
Madaraka matamu asikwambie mtu...huu ni msafara wa kisiasa wa mgombea urais..Jumla ya magari 60
VX V8 ni pungufu kidogo ya 45, yaliyobaki ni Toyota hard top na Nissan Patrol...Hizi V8 ni gari za kifahari sana na bei yake ni chini kidogo ya million 250 kwa moja..
Magari yote haya yana mafuta full tank na kila gari halipungui watu wane ndani...kwa uchache kabisa ni msafara wa watu 150...
Haya magari na hawa watu ..vyote kwa pamoja vinahudumiwa na KODI ZETU...!!!

Msafara ghali namna hii unapita kwenye miji na vijiji vyenye umaskini wa kutupwa huku huduma za kijamii za msingi zikiwa duni....
Madaraka ni matamu sana ....kilevi cha madaraka ni kibaya kuliko kokeni....ukiweza piga bajeti ya kila siku ya msafara kama huu....mchwa na wale nzige wa jangwani hapa wanasubiri

View attachment 1559120

Jr[emoji769]
 
Unalinganusha uchumi wa Marekani na Tanzania? Kwani huo msafara ungekuwa na VX mbili tuu halafu Bus za coaster 3 au Shabib bus 2 wasungefika huko waendako? Any way kwa kuwa kichwani umejaza funza siyo kosa lako...
Wivu utawaua na Ikulu hamuingii kamwe
 
Back
Top Bottom