mashoodjr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2016
- 2,223
- 1,518
Ila kutumia ndege ukiviruka vijiji na wilaya bila kuona matatizo ya wapiga kura ni sahihi [emoji116]View attachment 1559125
Don’t be stupid
Ila kutumia ndege ukiviruka vijiji na wilaya bila kuona matatizo ya wapiga kura ni sahihi [emoji116]View attachment 1559125
Hawa jamaa kwa kulalama, wamevunja record.Ila kutumia ndege ukiviruka vijiji na wilaya bila kuona matatizo ya wapiga kura ni sahihi [emoji116]View attachment 1559125
Wenzenu wana mifumo mizuri ya matumizi ya rasilimali za chama chao .Tatizo la chama chako hela zatafunwa na wachache so mtaishia kulaumu tu.Kaka mkubwa hawa wenzetu hawaelewi .Hali mbaya sana tena sana huko vijijin .Mungu anawaona.barikiwa mkuu
Kwenye bajeti ya uchaguzi viongozi wako walisusa ni kama vile wote ni watoto wa kike, ikapitishwa B300+ ya uchaguzi laiti wengekuwepo something mbolea could be done. Tusilaumiane please.Madaraka matamu asikwambie mtu...huu ni msafara wa kisiasa wa mgombea urais..Jumla ya magari 60
VX V8 ni pungufu kidogo ya 45, yaliyobaki ni Toyota hard top na Nissan Patrol...Hizi V8 ni gari za kifahari sana na bei yake ni chini kidogo ya million 250 kwa moja..
Magari yote haya yana mafuta full tank na kila gari halipungui watu wane ndani...kwa uchache kabisa ni msafara wa watu 150...
Haya magari na hawa watu ..vyote kwa pamoja vinahudumiwa na KODI ZETU...!!!
Msafara ghali namna hii unapita kwenye miji na vijiji vyenye umaskini wa kutupwa huku huduma za kijamii za msingi zikiwa duni....
Madaraka ni matamu sana ....kilevi cha madaraka ni kibaya kuliko kokeni....ukiweza piga bajeti ya kila siku ya msafara kama huu....mchwa na wale nzige wa jangwani hapa wanasubiri
View attachment 1559120
Jr[emoji769]
Hawa ndo walisema hakuna umuhimu wa ndege, leo hii wanasafiri kwa kutumia punda.Ila kutumia ndege ukiviruka vijiji na wilaya bila kuona matatizo ya wapiga kura ni sahihi [emoji116]View attachment 1559125
Mbowe kayawekea bond so hayawezi kutoka mpaka mkopo ulipwe!!Magari yenu ya M4C hayana mafuta
Ila angekua trump mngemsifu kua ana ulinzi mkali na msafara mzuri
Sasa kwa mbio hizo Magufuli anaona matatizo gani ya wananchi?Ila kutumia ndege ukiviruka vijiji na wilaya bila kuona matatizo ya wapiga kura ni sahihi [emoji116]View attachment 1559125
Ndege si wanasema ni anasa?Ila kutumia ndege ukiviruka vijiji na wilaya bila kuona matatizo ya wapiga kura ni sahihi [emoji116]View attachment 1559125
We need JPM. He has done well so far and would like seeing all he is doing accomplished by 2025Huo ni Msafara wa Mkuu wa nchi & Amiri Jeshi Mkuu na sio Msafara kama ule wa Bi Kidude au yule aliyetoroka Milembe
Hakuna ulevi wa Madaraka bali ni matumizi sahihi ya rasilimali za nchi yetu kwa ajili ya kumuhudumia ipasavyo Kiongozi wetu Mkuu
Atakayechukua nafasi yake 2025 ambaye lazima atoke CCM nayeye ataendelea kupata huduma hiyohiyo
When you are the incumbent seeking re-election you don’t run on new promises, but run on your past record” Politics 121.Madaraka matamu asikwambie mtu...huu ni msafara wa kisiasa wa mgombea urais..Jumla ya magari 60
VX V8 ni pungufu kidogo ya 45, yaliyobaki ni Toyota hard top na Nissan Patrol...Hizi V8 ni gari za kifahari sana na bei yake ni chini kidogo ya million 250 kwa moja..
Magari yote haya yana mafuta full tank na kila gari halipungui watu wane ndani...kwa uchache kabisa ni msafara wa watu 150...
Haya magari na hawa watu ..vyote kwa pamoja vinahudumiwa na KODI ZETU...!!!
Msafara ghali namna hii unapita kwenye miji na vijiji vyenye umaskini wa kutupwa huku huduma za kijamii za msingi zikiwa duni....
Madaraka ni matamu sana ....kilevi cha madaraka ni kibaya kuliko kokeni....ukiweza piga bajeti ya kila siku ya msafara kama huu....mchwa na wale nzige wa jangwani hapa wanasubiri
View attachment 1559120
Jr[emoji769]
Sifa za kijiingaIla angekua trump mngemsifu kua ana ulinzi mkali na msafara mzuri
Ndio sababu Mtu mweusi anafananishwa kabisaa na Nyani au Sokwe
Ila angekua trump mngemsifu kua ana ulinzi mkali na msafara mzuri