Madaraka ya KULEVYA! Msafara wa mgombea urais magari 60

Unalinganusha uchumi wa Marekani na Tanzania? Kwani huo msafara ungekuwa na VX mbili tuu halafu Bus za coaster 3 au Shabib bus 2 wasungefika huko waendako? Any way kwa kuwa kichwani umejaza funza siyo kosa lako...
Kuna magari mengine sehemu zingine kupita ni ngumu.

Na ni risk kuyatumia.
 
Badala ya kusikiliza sera, mnaenda kuhesabu magari na kuangalia mpinzani wenu amekosea wapi ili mje mmuanzishie thread humu JF. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Sera ipi wakati for the past 5 years sera ni flai ova, stigilazi goji, reli ya umeme, uzalendo na mabeberu??
 
Tambua kwamba huo msafara una makundi manne:-

1. Rais wa nchi/mgombea urais
2. Vyombo vya ulinzi wa Rais
3. Viongozi waandamizi wa CCM

4. Waandishi wa habari

Pia hizo gari ( Vx V8s) Zina speed kubwa ili kuwezesha kuwahi mikutano.

Halafu CCM mnaichukuliaje? Miaka Zaidi ya 30 madarakani ishindwe kununua magari yake?
 
Madaraka matamu asikwambie mtu...huu ni msafara wa kisiasa wa mgombea urais..Jumla ya magari 60
VX V8 ni pungufu kidogo ya 45, yaliyobaki ni Toyota hard top na Nissan Patrol...Hizi V8 ni gari za kifahari sana na bei yake ni chini kidogo ya million 250 kwa moja..
Magari yote haya yana mafuta full tank na kila gari halipungui watu wane ndani...kwa uchache kabisa ni msafara wa watu 150...
Haya magari na hawa watu ..vyote kwa pamoja vinahudumiwa na KODI ZETU...!!!

Msafara ghali namna hii unapita kwenye miji na vijiji vyenye umaskini wa kutupwa huku huduma za kijamii za msingi zikiwa duni....
Madaraka ni matamu sana ....kilevi cha madaraka ni kibaya kuliko kokeni....ukiweza piga bajeti ya kila siku ya msafara kama huu....mchwa na wale nzige wa jangwani hapa wanasubiri

View attachment 1559120

Jr[emoji769]
Wanasakolojia wameliona hilo. Power corrupts. Absolute power corrupts absolutely. Hadi hapo katiba itakapowekwa sawa kuhusu madaraka ya urais, tuendelee kuhesabu maumivu tu.
 
1.Gharama za ununuzi wa magari
2.Mafuta
3. Service
4. Posho za maofisa na madereva
5. Daharura nk

Kwa kipindi chote cha kampeni

Jr[emoji769]
 
Tambua kwamba huo msafara una makundi manne:-

1. Rais wa nchi/mgombea urais
2. Vyombo vya ulinzi wa Rais
3. Viongozi waandamizi wa CCM

4. Waandishi wa habari

Pia hizo gari ( Vx V8s) Zina speed kubwa ili kuwezesha kuwahi mikutano.

Halafu CCM mnaichukuliaje? Miaka Zaidi ya 30 madarakani ishindwe kununua magari yake?
Kuna wimbo mmoja wa Kimanyema unaitwa gere mama....ukipata nafasi naomba uusikilize ..hasa kwenye ule ubeti usemao ....fahariii eenh ndio mama wa.......

Jr[emoji769]
 
Madaraka matamu asikwambie mtu...huu ni msafara wa kisiasa wa mgombea urais..Jumla ya magari 60
VX V8 ni pungufu kidogo ya 45, yaliyobaki ni Toyota hard top na Nissan Patrol...Hizi V8 ni gari za kifahari sana na bei yake ni chini kidogo ya million 250 kwa moja..
Magari yote haya yana mafuta full tank na kila gari halipungui watu wane ndani...kwa uchache kabisa ni msafara wa watu 150...
Haya magari na hawa watu ..vyote kwa pamoja vinahudumiwa na KODI ZETU...!!!

Msafara ghali namna hii unapita kwenye miji na vijiji vyenye umaskini wa kutupwa huku huduma za kijamii za msingi zikiwa duni....
Madaraka ni matamu sana ....kilevi cha madaraka ni kibaya kuliko kokeni....ukiweza piga bajeti ya kila siku ya msafara kama huu....mchwa na wale nzige wa jangwani hapa wanasubiri

View attachment 1559120

Jr[emoji769]
Madogo sana mkuu ilitakiwa hata mia swali kwako kwani gari ni za ccm au za serekali
 
Madaraka matamu asikwambie mtu...huu ni msafara wa kisiasa wa mgombea urais..Jumla ya magari 60
VX V8 ni pungufu kidogo ya 45, yaliyobaki ni Toyota hard top na Nissan Patrol...Hizi V8 ni gari za kifahari sana na bei yake ni chini kidogo ya million 250 kwa moja..
Magari yote haya yana mafuta full tank na kila gari halipungui watu wane ndani...kwa uchache kabisa ni msafara wa watu 150...
Haya magari na hawa watu ..vyote kwa pamoja vinahudumiwa na KODI ZETU...!!!

Msafara ghali namna hii unapita kwenye miji na vijiji vyenye umaskini wa kutupwa huku huduma za kijamii za msingi zikiwa duni....
Madaraka ni matamu sana ....kilevi cha madaraka ni kibaya kuliko kokeni....ukiweza piga bajeti ya kila siku ya msafara kama huu....mchwa na wale nzige wa jangwani hapa wanasubiri

View attachment 1559120

Jr[emoji769]
Ni magari ya Chama chake au serikali?

Naimani Chadema wangekuwa na pesa, wangeruka kwa helikopta kama walivyozeaga. Ila mwenye pesa safari hii ni Lissu na anataka chenji ibaki.
 
Hata mkitangaza kuongeza mishahara wakati wowote kuanzia sasa pasipo Bunge kupitisha,tutawapiga chini tu.
Maoni ya mdau wa jf
 
Natamani kama ingelitokea Nyerere naye angefanya hata kampeni za kutetea kiti chake kama ingeliwezekana. Nadhani tungepima kitu
Nyakati ni tofauti pia.
Bila shaka athari ambazo raisi alikuwa analindwa dhidi yake enzi ya Nyerere sio sawa na sasa. Enzi zile adui mkubwa wa viongozi wa Afrika yalikuwa majeshi yao wenyewe yaliyokuwa yakitumiwa na mabeberu.

Siku hizi mabeberu wanatumia kila mtu sio majeshi tu. Kila mwenye njaa, awe mama ntilie, anayedhania yeye ni msomi, wanasiasa, hata mwenzio kitandani.
Uzalendo wa taifa umekwisha tumeiga individualism ya mabeberu ambayo imetuletea ubinafsi. Hivyo kupunguza dau la kununulika kwetu.
 
Kuna wimbo mmoja wa Kimanyema unaitwa gere mama....ukipata nafasi naomba uusikilize ..hasa kwenye ule ubeti usemao ....fahariii eenh ndio mama wa.......

Jr[emoji769]
Brother Mshana acha kuhangaika na vitu vidogo namna hii!
 
Sawa...I wish ungeelewa impact yake lakini

Jr[emoji769]
Najua Kila kitu ndiyo maana nadhani wewe unahisi kuwa pesa za umma zinatumika isivyo! Ila ujue CCM Ni chamadola na kikongwe Tanzania kina vyanzo vya mapato vingi Sana, siyo Jambo la kushangaza kuona hizo VX V8s zikitumiwa kwa kampeni.
 
Hii ya Kua na magari mzuri nayo pia ni point ya kupima namsafara bora.
 
Madaraka matamu asikwambie mtu...huu ni msafara wa kisiasa wa mgombea urais..Jumla ya magari 60
VX V8 ni pungufu kidogo ya 45, yaliyobaki ni Toyota hard top na Nissan Patrol...Hizi V8 ni gari za kifahari sana na bei yake ni chini kidogo ya million 250 kwa moja..
Magari yote haya yana mafuta full tank na kila gari halipungui watu wane ndani...kwa uchache kabisa ni msafara wa watu 150...
Haya magari na hawa watu ..vyote kwa pamoja vinahudumiwa na KODI ZETU...!!!

Msafara ghali namna hii unapita kwenye miji na vijiji vyenye umaskini wa kutupwa huku huduma za kijamii za msingi zikiwa duni....
Madaraka ni matamu sana ....kilevi cha madaraka ni kibaya kuliko kokeni....ukiweza piga bajeti ya kila siku ya msafara kama huu....mchwa na wale nzige wa jangwani hapa wanasubiri

View attachment 1559120

Jr[emoji769]
Ongeza na Sienta yako maana hautumii mafuta mengi.
 
Back
Top Bottom