Madaraka Nyerere na sanduku la kura

Baija Bolobi

JF-Expert Member
Feb 25, 2009
1,093
1,726
Waheshimiwa

Hivi majuzi nilikutana na Madaraka Kambarage Nyerere, nikamwuliza maoni yake kuhusu hali ya siasa katika taifa letu. Akanijibu kuwa, "Watanzania wana hasira kali sana lakini hawajaweza kutumbukiza hasira yao katika sanduku la kura". Akaongeza, "Siku wakitumbukiza hasira yao kwenye sanduku la kura, ndipo tutaona mabadiliko katika nchi hii".

Wajameni mnasemaje?
 
hongera kupiga stori na madaraka.
 
hayo anayosema ni kweli kabisa......siku tutakapo tumia KURA kama siraha yetu ndio tutakaposhinda.......
 
Wrong assumptions!!!!

Ukitumbukiza kura yako ktk box is one thing! Matokeo ya kura is another thing all together!
 
Waheshimiwa

Hivi majuzi nilikutana na Madaraka Kambarage Nyerere, nikamwuliza maoni yake kuhusu hali ya siasa katika taifa letu. Akanijibu kuwa, "Watanzania wana hasira kali sana lakini hawajaweza kutumbukiza hasira yao katika sanduku la kura". Akaongeza, "Siku wakitumbukiza hasira yao kwenye sanduku la kura, ndipo tutaona mabadiliko katika nchi hii".

Wajameni mnasemaje?

Kwani Miaka yote Zanzibar wamekuwa wanafanya nini?

Jimbo la Arusha Mjini wamekuwa wanafanya nini?

That guy just looked at your face and saw the answer you

wanted, na akakuhit nalo...! you think akiwa na wanaCCM

wa humu JF kama akina UWIANO MAALUM atathubutu

kusema hilo?.....Yule jamaa sidhani kama ana mashati ya

rangi ingine zadi ya yale ya green-guard!
 
Last edited:
Nontheless his observation is invariably correct regardless of his actual intentions or personal political affiliation. Greatness requires that you recognise the truth, even when it hails from the toungue of your foe and I doubt he's a foe to this Nation. Kasema ukweli in short. Respect that!
 
What madaraka said is very true and hold water! Our country need changes and overhaul in every aspect and this will materialise once each one of us is ready to take a big step, to vote for a change! We first vote out those who have been in power for ages and havent done anything to the good course of our country - put new blood with fresh ideas. Further to that, we put clear to leaders that the posts are performance based and failure to perform we take them out.
 
jamani mara zota CCM wanaiba kura na pindi wakidhibitiwa wasiibe huwa ni kiama kwao. Hata huko Busanda sijui wapinzani wamejiandaa vipi na masanduku yanayofichwa darini halafu mkienda lunch yanabadirishwa.
 
Ukimwambia watanzania wana hasira pia na upuuzi wake wa kuandaa "mkutano wa upatanishi" kati yake na Jaffer Amin mtoto wa Idd Amin
 
Back
Top Bottom