Madaraka Nyerere, hazina ambayo haijatumika

Kato ndo nani mkuu? Huyu wa kutojaribiwa au?
huko ni kwenu, lakini pia hata KAGERA KARAGWE NI KWENU KWA MZEE MACHALILA, NA JINA LAKO LA KIHAYA NI KATO (wengi hawajui hii), sasa kama ndo sababu ya kujenga nyumbani anza nyumbani ambapo pako kwenye mipango ya Siku nyingi,
Nina kaswali kadogo tuu kumhusu Kato!, kwa mujibu wa bandiko lako hili, umeonyesha Kato kwao halisi haswa ni Karagwe ,Kagera kwa Mzee Machalika, sasa ilikuwaje akaibukia kule?!. Is he adopted or what?!. Just tell the truth! ,if you don't, some days the truth might come out, the sooner the better, kwa sababu if the truth comes out close to 2020 it won't be a good truth! .

Pasco
 
Tunadeal na the Top only.
Original ancestors wa Juli ni Mtusi!
Original ancestors wa Benya ni Nchumbiji!
Original ancestors wa Yoani ni Banyamulenge! .

Cha muhimu sio ancestors kwa sababu hatutafuti tambiko Lao bali wote ni Watanzania ila ukweli usemwe! .

Pasco
Na tukianza kutaftana hizo bas Watanzania almost wote tutaakuwa wageni. Mtu aweza kuwa mgeni but ikawa absorbed na jamii husika lakini kuna vitu ukiviangalia in deep vitakutofautisha tu na watu wa eneo husika.
 
There you are!.
Pasco
 
Nina kaswali kadogo tuu kumhusu Kato!, kwa mujibu wa bandiko lako hili, umeonyesha Kato kwao halisi haswa ni Karagwe ,Kagera kwa Mzee Machalika, sasa ilikuwaje akaibukia kule?!. Is he adopted or what?!. Just tell the truth! ,if you don't, some days the truth might come out, the sooner the better, kwa sababu if the truth comes out close to 2020 it won't be a good truth! .

Pasco
Kato is not adopted, ni kuwa baba yake KATO ndo mzaliwa wa karagwe kwa mzee machalila, ila kutokana na utaftaji wa hapa na pale ilibidi mzee baba KATO aamie biharamulo kiutaftaji kulingana na zaman kuhama hama kulikuwepo kutafta fursa hivyo akina KATO hawajakulia karagwe wamekulia biharamulo ambayo baadae ilitengwa
 
Ni miongoni mwa watu wasiopenda kujikweza wasio penda sifa na watulivu

Kweli kabisa! Siku mmoja Benki Musoma tulipiga naye foleni mpaka zamu yake ilipofika kueleka kwa Teller. Nilimgundua kwa sababu ninamfahamu na hatukuongea. Anafaa sana huyu mheshimiwa ni kama baba yake kwa unyenyekevu. Mungu amsaidie sana katika biashara zake..
 
Kato is not adopted, ni kuwa baba yake KATO ndo mzaliwa wa karagwe kwa mzee machalila, ila kutokana na utaftaji wa hapa na pale ilibidi mzee baba KATO aamie biharamulo kiutaftaji kulingana na zaman kuhama hama kulikuwepo kutafta fursa hivyo akina KATO hawajakulia karagwe wamekulia biharamulo ambayo baadae ilitengwa
Mkuu Buritanica, kwanza asante sana kwa ushirikiano na jibu hili! ,amini usiamini, wewe ni miongoni mwa mashujaa wa taifa hili ambao hawatambuliki! . Jambo moja kubwa linalokupa heshima kubwa sana kuliko ni kwenye kusimama kwenye ukweli no matter what! . Nimefarijika sana na nakuahidi kwenye mtandao huu wa JF, kamwe hutamsikia tena Pasco wa jf, akiuliza au kuzungumza jambo lolote kumhusu Kato! .

Naomba kukupongeza Mkuu Buritanica! ,you're a very strong man kuzungumza ukweli! . "Speak the truth, and the truth will set you free ", uko huru sasa na mimi nakuahidi kuungana na wewe kuipigania "Omukanjukuti" kwa sababu mimi being ni mwandishi wa habari, nina opportunity ya direct access to Kato, na najipanga kufanya mahojiano naye ya Face to Face, na heshima uliopita kunieleza kuhusu Katto, then Shukrani zangu za pekee kwako ni kukuahidi kuumuuliza swali kuhusu "Omukanjukuti!".

Ila kabla sijaendelea sana, sisi waandishi tuna tabia ya ku double check na kufanya cross check, hivyo hii taarifa yako kuwa Katto actually ni Muhaya by Tribe, Kuzaliwa Karagwe, Kagera, kwa baba Muhaya na mama Muhaya, na baadae wakahamia pale walipohamia na kupose kama mtu wa pale! . Huyu ni imposter! ,ila nakuahidi sitamuumbua!, maana akina "Ng'wanangosha wakijua walidanganywa!, hasira zao ni mbaya sana na watajutia kufanya kosa ile mara ya kwanza! ,kamwe akina Ng'wanangosha hawewezi kurudia makosa! .

Ila pia mimi binafsi na sympathise naye kubadili kabila kwasababu kuna minong'ono ya kuwa kuna makabila fulani mawili are cursed to be a president of this county! , Kama mambo ya laana ni kweli!, then haya yote yanayotokea kwenye uchumi wetu, we are cursed kwa laana ya Nyerere kwa kufanya "abomination" bila kujijua as a result the nation is in a curse! .

Please confirm ni Katto ni Muhaya wa Karagwe!, kwa kuzaliwa na wazazi baba na mama Wahaya ila ana poise kama mtu wa pale na wa kabila lile?!.

Tanzania tuna makabila 126!. Kuna dorminant tribes, major tribes, minor tribes, influential tribes, significant tribes, na insignificant tribes!. Mtu yoyote wa kabila fulani ku pose as wa kabila jingine ni imposter! . Watu wa makabila fulani madogo madogo hupenda ku pose as ni watu makabila makubwa is normal! , ila inapotokea mtu wa kabila kubwa very significant kupose as mtu wa kabila jingine, leaves more questions than answers! .

Pasco
 
Kweli kabisa! Siku mmoja Benki Musoma tulipiga naye foleni mpaka zamu yake ilipofika kueleka kwa Teller. Nilimgundua kwa sababu ninamfahamu na hatukuongea. Anafaa sana huyu mheshimiwa ni kama baba yake kwa unyenyekevu. Mungu amsaidie sana katika biashara zake..
Yes
 
Huyu jamaa anastahili heshima kubwa lakini macho ya watz tulio wengi tunamuangalia mtu kwa idadi gani ya magari ya kifahali anayomiliki na mademu ndio maana hatuwezi kumuona kwa sasa. Punde atatambulika kama wewe ulivyoweza kumtambua na vidampa wengine pamoja na kuonekana wako juu sasa, watarudia nafasi zao wanazostahili!
 
Mkuu Buritanica, kwanza asante sana kwa ushirikiano na jibu hili! ,amini usiamini, wewe ni miongoni mwa mashujaa wa taifa hili ambao hawatambuliki! . Jambo moja kubwa linalokupa heshima kubwa sana kuliko ni kwenye kusimama kwenye ukweli no matter what! . Nimefarijika sana na nakuahidi kwenye mtandao huu wa JF, kamwe hutamsikia tena Pasco wa jf, akiuliza au kuzungumza jambo lolote kumhusu Kato! .

Naomba kukupongeza Mkuu Buritanica! ,you're a very strong man kuzungumza ukweli! . "Speak the truth, and the truth will set you free ", uko huru sasa na mimi nakuahidi kuungana na wewe kuipigania "Omukanjukuti" kwa sababu mimi being ni mwandishi wa habari, nina opportunity ya direct access to Kato, na najipanga kufanya mahojiano naye ya Face to Face, na heshima uliopita kunieleza kuhusu Katto, then Shukrani zangu za pekee kwako ni kukuahidi kuumuuliza swali kuhusu "Omukanjukuti!".

Ila kabla sijaendelea sana, sisi waandishi tuna tabia ya ku double check na kufanya cross check, hivyo hii taarifa yako kuwa Katto actually ni Muhaya by Tribe, Kuzaliwa Karagwe, Kagera, kwa baba Muhaya na mama Muhaya, na baadae wakahamia pale walipohamia na kupose kama mtu wa pale! . Huyu ni imposter! ,ila nakuahidi sitamuumbua!, maana akina "Ng'wanangosha wakijua walidanganywa!, hasira zao ni mbaya sana na watajutia kufanya kosa ile mara ya kwanza! ,kamwe akina Ng'wanangosha hawewezi kurudia makosa! .

Ila pia mimi binafsi na sympathise naye kubadili kabila kwasababu kuna minong'ono ya kuwa kuna makabila fulani mawili are cursed to be a president of this county! , Kama mambo ya laana ni kweli!, then haya yote yanayotokea kwenye uchumi wetu, we are cursed kwa laana ya Nyerere kwa kufanya "abomination" bila kujijua as a result the nation is in a curse! .

Please confirm ni Katto ni Muhaya wa Karagwe!, kwa kuzaliwa na wazazi baba na mama Wahaya ila ana poise kama mtu wa pale na wa kabila lile?!.

Tanzania tuna makabila 126!. Kuna dorminant tribes, major tribes, minor tribes, influential tribes, significant tribes, na insignificant tribes!. Mtu yoyote wa kabila fulani ku pose as wa kabila jingine ni imposter! . Watu wa makabila fulani madogo madogo hupenda ku pose as ni watu makabila makubwa is normal! , ila inapotokea mtu wa kabila kubwa very significant kupose as mtu wa kabila jingine, leaves more questions than answers! .

Pasco
Mkuu Pasco...hii kitu imekaaje? Hebu jaribu kufunguka zaidi kuhusu hili swala la Kato. Hapo nimekusoma vizuri sana but nina maswali kadhaa, mfano, je huko Karagwe kuna ndugu zake Kato ambao wanajulikana? Watoto wa baba mdogo/mkubwa/shangazi nk?

Karibu kwa ufafanuzi mkuu.
 
Mkuu...naomba umsome Pasco hapo juu, halafu utiririke ukweli kuhusu Kato.
Hii issue ikoje, mbona kwenye TV ya Taifa tulionyeshwa mpaka makaburi ya babu zake Kato, tena yapo kwenye mkoa wa akina Ngosha na siyo Karagwe? Ukweli ni upi mkuu, ufafanuzi unahitajika sana hapa.
Story ya KATO tuiache, tunatania tu kuchangamsha baraza , ni mzaliwa wa kagera wilayan biharamulo
 
Tunadeal na the Top only.
Original ancestors wa Juli ni Mtusi!
Original ancestors wa Benya ni Nchumbiji!
Original ancestors wa Yoani ni Banyamulenge! .

Cha muhimu sio ancestors kwa sababu hatutafuti tambiko Lao bali wote ni Watanzania ila ukweli usemwe! .

Pasco

Vipi original ya Jaka ni wapi?
 
Mkuu Buritanica, kwanza asante sana kwa ushirikiano na jibu hili! ,amini usiamini, wewe ni miongoni mwa mashujaa wa taifa hili ambao hawatambuliki! . Jambo moja kubwa linalokupa heshima kubwa sana kuliko ni kwenye kusimama kwenye ukweli no matter what! . Nimefarijika sana na nakuahidi kwenye mtandao huu wa JF, kamwe hutamsikia tena Pasco wa jf, akiuliza au kuzungumza jambo lolote kumhusu Kato! .

Naomba kukupongeza Mkuu Buritanica! ,you're a very strong man kuzungumza ukweli! . "Speak the truth, and the truth will set you free ", uko huru sasa na mimi nakuahidi kuungana na wewe kuipigania "Omukanjukuti" kwa sababu mimi being ni mwandishi wa habari, nina opportunity ya direct access to Kato, na najipanga kufanya mahojiano naye ya Face to Face, na heshima uliopita kunieleza kuhusu Katto, then Shukrani zangu za pekee kwako ni kukuahidi kuumuuliza swali kuhusu "Omukanjukuti!".

Ila kabla sijaendelea sana, sisi waandishi tuna tabia ya ku double check na kufanya cross check, hivyo hii taarifa yako kuwa Katto actually ni Muhaya by Tribe, Kuzaliwa Karagwe, Kagera, kwa baba Muhaya na mama Muhaya, na baadae wakahamia pale walipohamia na kupose kama mtu wa pale! . Huyu ni imposter! ,ila nakuahidi sitamuumbua!, maana akina "Ng'wanangosha wakijua walidanganywa!, hasira zao ni mbaya sana na watajutia kufanya kosa ile mara ya kwanza! ,kamwe akina Ng'wanangosha hawewezi kurudia makosa! .

Ila pia mimi binafsi na sympathise naye kubadili kabila kwasababu kuna minong'ono ya kuwa kuna makabila fulani mawili are cursed to be a president of this county! , Kama mambo ya laana ni kweli!, then haya yote yanayotokea kwenye uchumi wetu, we are cursed kwa laana ya Nyerere kwa kufanya "abomination" bila kujijua as a result the nation is in a curse! .

Please confirm ni Katto ni Muhaya wa Karagwe!, kwa kuzaliwa na wazazi baba na mama Wahaya ila ana poise kama mtu wa pale na wa kabila lile?!.

Tanzania tuna makabila 126!. Kuna dorminant tribes, major tribes, minor tribes, influential tribes, significant tribes, na insignificant tribes!. Mtu yoyote wa kabila fulani ku pose as wa kabila jingine ni imposter! . Watu wa makabila fulani madogo madogo hupenda ku pose as ni watu makabila makubwa is normal! , ila inapotokea mtu wa kabila kubwa very significant kupose as mtu wa kabila jingine, leaves more questions than answers! .

Pasco
Ntashukuru sana ukimfikishia ujumbe wa "omukajunguti"

Na ikibidi aeleze kwa ufasaha
 
Mkuu...naomba umsome Pasco hapo juu, halafu utiririke ukweli kuhusu Kato.
Hii issue ikoje, mbona kwenye TV ya Taifa tulionyeshwa mpaka makaburi ya babu zake Kato, tena yapo kwenye mkoa wa akina Ngosha na siyo Karagwe? Ukweli ni upi mkuu, ufafanuzi unahitajika sana hapa.
Makaburi kuoneshwa mahala haimaanishi we ni wa pale, hata Mimi kwetu kabisa kiziba lakin kizazi cha tano tumejikuta uyozani, ila historia inajulikana hivyo na makaburi ya mababu waliozikwa yapo uyozan
 
Vipi original ya Jaka ni wapi?
Wengi wa Bagamoyo ni very hard to track their roots kwa sababu wakati wa utumwa Bagamoyo ndio ilikuwa bandari ya kuwavusha kwenda sokoni Zanzibar! , sasa wengi wa watumwa weak walitelekezwa hapo pwani ya Bagamoyo wakigaagaa na upwa!.

Ila kwa traits zake ambazo ni visible roots ya mababu zake ni mtumwa kutoka Tabora aliyetelekezwa Bagamoyo! .
Pasco
 
Kato, ni kuwa baba yake KATO ndo mzaliwa wa karagwe kwa mzee machalila, ila kutokana na utaftaji wa hapa na pale ilibidi mzee baba KATO aamie biharamulo kiutaftaji kulingana na zaman kuhama hama kulikuwepo kutafta fursa hivyo akina KATO hawajakulia karagwe wamekulia biharamulo ambayo baadae ilitengwa
Story ya KATO tuiache, tunatania tu kuchangamsha baraza , ni mzaliwa wa kagera wilayan biharamulo
Naunga mkono kufungwa kwa mjadala wa Kato ila kuendelea kutumika kama reference kwa ku double check na cross check to be more precise kuwa huyu Katto alizaliwa wapi haswa?.
Pasco
 
Back
Top Bottom