(Sahih Muslim)"Ewe Abu Dharr! Hakika wewe ni dhaifu, na uongozi ni amanah (dhamana), na Siku ya Kiyama ni fedheha na majuto isipokuwa kwa anayestahili na akatimiza wajibu wake."
"Mmetia mzigo juu yangu, na kunihalalishia adhabu ya Mwenyezi Mungu ikiwa sitahukumu kwa haki."
Kaleta bandiko Kwa mujibu wa alichosoma na kuelewa kwenye Dini yake,halafu wewe unaleta masikhara,Nitafute...tabata kisukuru kuna chimbo moja kitimoto ya kuchoma ni tamu kuliko unayokula tandale
Asante kwa ukumbusho, kwa wenye dhamana ya uongozi wazingatie hayo.Sayyidna Abu Dharr Al-Ghifari (RA) – Kukataa Uongozi
Mtume Muhammad (SAW) alimkataa Abu Dharr alipoomba nafasi ya uongozi:
(Sahih Muslim)
Abu Dharr alikuwa mcha Mungu sana, lakini alikatazwa uongozi kwa sababu ya kutokuwa na uwezo wa kushughulika na majukumu yake. Yeye mwenyewe alikubali kwa unyenyekevu.
3. Umar bin Abdul Aziz (RA) – Khalifa wa Karne ya Pili Hijria
Alipopewa ukhalifa, Umar bin Abdul Aziz alilia na kusema:
Alikuwa mtu mwema sana na hakutaka madaraka, lakini alikubali kwa sharti ya kuutumia kwa haki. Awali alijitahidi kuikwepa kwa kila namna.
4. Imam Ahmad bin Hanbal (RA) – Kukataa Madaraka ya Kisiasa
Mwanazuoni mkubwa, Ahmad bin Hanbal, alikataa vyeo vya kisiasa vilivyotolewa na watawala wa wakati huo. Aliona kwamba kujiunga nao ni kuruhusu dhulma au kupoteza uhuru wa kusema haki.
Ndio akili zenyewe hizo za watz waliokuwa wengi. Halafu unashangaa kwanini utekaji haukomiT
Kaleta bandiko Kwa mujibu wa alichosoma na kuelewa kwenye Dini yake,halafu wewe unaleta masikhara,
Mimi ni mkristo ila napenda kujifunza vitu tofauti kama hivi.
Hukuwa na haja ya kutaja kitimoto ilhali unajua kabisa aliyeleta post ni mtu wa aina gani.
Acha utoto
Hapo itakuwa wapo waliomchagua, hakuna binaadam asiependa rahaNa hapo hapo Uislam unasemaje kuhusu mwanamke kuongoza jamii/mwanamke kuwa juu ya mwanaume?
Usifanye hivyo mkuu,hata kama ni utaniNitafute...tabata kisukuru kuna chimbo moja kitimoto ya kuchoma ni tamu kuliko unayokula tandale
ngoja kwanzaSayyidna Abu Dharr Al-Ghifari (RA) – Kukataa Uongozi
Mtume Muhammad (SAW) alimkataa Abu Dharr alipoomba nafasi ya uongozi:
(Sahih Muslim)
Abu Dharr alikuwa mcha Mungu sana, lakini alikatazwa uongozi kwa sababu ya kutokuwa na uwezo wa kushughulika na majukumu yake. Yeye mwenyewe alikubali kwa unyenyekevu.
3. Umar bin Abdul Aziz (RA) – Khalifa wa Karne ya Pili Hijria
Alipopewa ukhalifa, Umar bin Abdul Aziz alilia na kusema:
Alikuwa mtu mwema sana na hakutaka madaraka, lakini alikubali kwa sharti ya kuutumia kwa haki. Awali alijitahidi kuikwepa kwa kila namna.
4. Imam Ahmad bin Hanbal (RA) – Kukataa Madaraka ya Kisiasa
Mwanazuoni mkubwa, Ahmad bin Hanbal, alikataa vyeo vya kisiasa vilivyotolewa na watawala wa wakati huo. Aliona kwamba kujiunga nao ni kuruhusu dhulma au kupoteza uhuru wa kusema haki.
Kwani raha tangu ianze dunia kwani ni hii tu?ngoja kwanza
-viongozi wa wkt huo walikuwa wanapewa haya maV8 wanayopewa wenzao wa zama hizi?
-walikuwa na salare?
-kiinuamgongo je?
Nitafute private kuhusu hili hpa jamvini sio pazuriNa hapo hapo Uislam unasemaje kuhusu mwanamke kuongoza jamii/mwanamke kuwa juu ya mwanaume?
Nitafute private kuhusu hili hpa jamvini sio pazuri
Najipenda nduguWeka hapa hapa Kwa faida ya wote
Unatafuta mchumba?T
Kaleta bandiko Kwa mujibu wa alichosoma na kuelewa kwenye Dini yake,halafu wewe unaleta masikhara,
Mimi ni mkristo ila napenda kujifunza vitu tofauti kama hivi.
Hukuwa na haja ya kutaja kitimoto ilhali unajua kabisa aliyeleta post ni mtu wa aina gani.
Acha utoto
Uwezo wako mdogo SanaUnatafuta mchumba?
Wa kukuhudumia?Uwezo wako mdogo Sana