Madame B is Back...! Niliwamisijeee eee...!?

Nataka house girl wa kunipikia, kunifulia, kudeki, n.k. Hayo ya mke unasema wewe.

kijana vp, mbona unaogopa while uko single? ama umeoa kimya kimya? changamkia mke, twahitaji kula ubwabwa kabla mwaka haujaisha.......
 
Hapana chezea madada wa Town....
Afu lile Chimbo liko Poa sana mamito.
itabidi tutafutane tena jamani.
ile Kampani sijapata iona, tena safari hii, DOMPO ziwe teleeeeeeeeeeeeeeeeee.........

Hv mdogo wetu Mentor yupo kweli?
alikuwa anacheka tu na kujionea maajabu ya dunia hii! ashukuru dadake gfsonwin alikuwa mkali, nilitaka utamu wa tumbaku ni popoooo!! lol, chimbo lenye music sweetheart plz, usimsahau yule shoga ako, ila yule lara 1 fake usimlete tena! alikuwa hatuelewiiiiiiiiiiiii! lol
 
Last edited by a moderator:
hahahahaha. Ila we ulikimbia mapemaaaaaaa
Mtambuzi alikuwa anajali idara zote!! the best babu ever! itabidi tuwaweke pamoja na babu Dark City na babu Asprin tuone nani zaidi! ila Mtambuzi yupo juu mbaya, ma-care ya kufa mtu! lol, halafu wanasema nikonde, nakondaje thatha??? nijuzeni tafadhali!! hapana chezeiya ma-babu wa jf!!
 
Last edited by a moderator:
snowhite lile chimbo balaaaaaaaaa
Ila Mtambuzi atakuja kutuua siku moja, Mambo gani ya kutuletea mipombe yake ya Ulaya.
Me nshazoea Bia za TBL bhanaaaaaa....
mie kwangu alikuwa burudaniiiiiiiiii, nili-enjoyje?? nilimkuta baba na wanae hossy, mama nipo njwiiiiiiiiii!! nilikatwa jicho tu, nakuambiwa tangulia hm, nikukute hm! lol!!! aliniuliza mmesafirisha au mmezika?? gfsonwin akajibu leo ulikuwa mchango wa kupata jeneza, akatujibu litakuwa la dhahabu, naona mmechanga haswaaaaaaaaaaaa!! tulisepaje eneo la hossy mapema?????? alilala kwangu ujue??
 
Last edited by a moderator:
 


Na kweli amshukuru dadake gfsonwin alimpiga plasta mdomoni,la sivyo angeshuhudia nyonga za wanawake wa mujini jinsi zinavyokatwa kunako.................!!!!!!!!!!!!
Tuliza Ball, kuna chimbo hilo ni balaaaaaaaaaaaaa
Yule shoga angu kajaa tele kama pishi la Udaga.
Mhhhhhhhhhhhh...........!!!!!!!!!!!!!!!, Shoga maajabu lara 1 yule me hata sijamuelewa kabisa.
fake iliyopitiliza.
 
Last edited by a moderator:

Mchanganyiko wa Dompo na Valeur c wa kitoto. Hadi gari ikasahaulika. Hvi nani alisema kuwa amemeza dawa za malaria asubuh ile?
 
Last edited by a moderator:
Hapana chezea madada wa Town....
Afu lile Chimbo liko Poa sana mamito.
itabidi tutafutane tena jamani.
ile Kampani sijapata iona, tena safari hii, DOMPO ziwe teleeeeeeeeeeeeeeeeee.........

Hv mdogo wetu Mentor yupo kweli?

Na valeur ziwepo.si unajua kuwa wanao mix watakuwepo?
 
Last edited by a moderator:
Mchanganyiko wa Dompo na Valeur c wa kitoto. Hadi gari ikasahaulika. Hvi nani alisema kuwa amemeza dawa za malaria asubuh ile?
kwi kwi kwi! nilijua atanifia hm ujue?? niliamka usiku kumchungulia kama anapumua, mngeniletea kesi mjue?? kwi kwi kwi, was a nice day indeed! brajec lini?? napapendaje??? ipi ss ya mikocheni au ya savei??
 
umeona eeeeeeee, this time tuanzie makaburini kinondoni tukamuombee kidogo! lol! what a loss jemeni?? mzima wewe lakini?? gfsonwin kasafiri alikuaga?? nimemwambia anipakie dildo akuje nazo pande hii za size tofauti, lol!!

Ila i heard we cacico ndo chanzo cha jamaa kujirestisha in peace.
 
Last edited by a moderator:


Nakwambiaje mamito,
Kwa jinsi ileeee, Nlijua tu kwenda home ni mtihani mzito sanaaaaaaaaa.
Basi nakwambieje,ile nafika home tu, X mkwe huyoooooo,
akanambia twende unapopataka,nilijilipuajeeeeeeeeeeeee,
kutahamaki saa kumi usiku.........lol...............
mambo ya kudandiana dandiana na wakwe me nataka?
Kanyinyinyi..............chwaaaaaaa.......mpaka Sinza.
Kumi na moja alfajiri ndo narudisha ngoko zangu eneo la tukio.
 
ha ha ha ha we mkareeeeeeeeee! niliisoma namba kimya kimya na niliyekuacha naye, nikajua hapa lazma sayari ya mars itafutwe!! nilikudoeaje viepe na kuku yule?? najua hukushiba, ila nilijua we upo hm utakula tu, ss mie, mpaka nianze kupasha viporo leo??? Jiwe Linaloishi yupo?? mwambie nimemmiss!!, mbona hasomeki wakati wahanga wanajuliana hali, ebo!!?
 
Last edited by a moderator:
Na valeur ziwepo.si unajua kuwa wanao mix watakuwepo?


We nawe mikwara miiiiiingiiiiiii, wakati hata Kibo hufiki.
Watu twajilipua we watoa macho.
Na safari ijayo tutakunywesha kinguvu.
Lile chimbo pana atiiiiiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…