figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,175
- 64,552
Heheheeee mi nahitaji kuwa na Kipipi tu na si mwingine so labda uhakikishe anakuja kuwa nami milele
Ndo mana yakeeeeeeeeeee,
Mwanamke nyonga babu weeeeee na miguno ya hapa na pale, Kugugumia inahuuuuuu............!!!!!!!!!???????? sweetlady namuona hapa anakunywa wine na mume mwenzio.
Mkuu naomba tuheshimiane kwa Kipipi. Juzi nlimsalimia Amyner kidogo tu lakini ulinisimanga hadi nikakoma. unanikanyaga bahati mbaya nakulipua makusudi. chezeya mali ya figganigga weye.
Jamani mimi namshangaa huyu B52 anavyo piga sarakasi wakati amevaa taulo. weraweraaaa....!!!. chezea kipipi weye!. mia
Kuna vimwali huku.....Utahitaji????
Mwanaume staha babu weeeeeeeeeeee
Una haraka utadhani umekamatwa ugoni????
RELAXXXXXXXXX..............
Sema Mpendwa..... Nicas Mtei.......
Ila itabidi nitoke na Loya wenu.
Fanya mpango basi. Si unakumbuka nlikwambia natafuta hausi geli?