Hawakuwezi wewe matawi ya juu Madame B unatembelea kitu ambacho hakuna awezaye kukimiliki na unakaa kwenye jumba ambalo hawawezi kuota hata kuweka mguu ndani
Waambie waje na cheque ya dollar kadhaa wakukabidhi ndo utoke nao out
Namuokoaje mazee! ? Mimba ntamreskyuje? Afu kuna fununu zisizo rasmi kwamba ana katoto kanakonyonya kifuani, asa si ndy itakua bemendonization?
Nilikumiss sana Madame B. Nilipokua katika dhoruba ulinituliza,ulikua nanga yanguOoooohhhhh Mpenzi wangu jamani,................... Nilikumisi sana.
Huku nitonye ananitongoza na Bishanga ananiambiaeti nirudiane na mdogo wake Ruttashobolwa.
View attachment 89206hata mie iliniwia ngumu kuamini, ila hapo pekundu ni nini hiyo??
Ben Saanane mpe salam zangu bana na mwambie Mr Rocky wa kuanzia kule Darhot wire ni yule yule
Nilikumiss sana Madame B. Nilipokua katika dhoruba ulinituliza,ulikua nanga yangu
Wanadhani wewe ni chakaramu.
CC: nitonye-Tuheshimiane
CC: Bishanga-Umeacha kuwa Broker wa hisa unaingilia fani ya kuwa pimp.Umeniangusha sana
CC: Ruttashobolwa-Maji yakimwagika hayazoleki.Dumisha amani na utulivu....
Ben Saanane mpe salam zangu bana na mwambie Mr Rocky wa kuanzia kule Darhot wire ni yule yule
Nipo pembeni nacheki huu mpambano..
Acha uwoga ben mwenyewe alikuwa amekumbatiwa na mke wa mtu akaambulia kichapo ni habari zilizo chini ya kapeti. Njoo kipenzi changu toto la ukweliOoooohhhhh Mpenzi wangu jamani,................... Nilikumisi sana.Huku nitonye ananitongoza na Bishanga ananiambiaeti nirudiane na mdogo wake Ruttashobolwa.
karibu sana mkuu Ben Saanane
tuliongea mengi sana Darhotwire mkuu na ndo maana nakukumbuka sana
KAribu sana na shemeji huku bana Madame B mje mupate raha ya baridi la huku
Acha uwoga ben mwenyewe alikuwa amekumbatiwa na mke wa mtu akaambulia kichapo ni habari zilizo chini ya kapeti. Njoo kipenzi changu toto la ukweli
Si umwambie ukweli kilichotokea kwenye fumanizi lako?
Nimeshakodi jet mahabuba tukale raha weekend hii ben myayushe kwenye promis yenuUnan'tafuta.
Nimeshakodi jet mahabuba tukale raha weekend hii ben myayushe kwenye promis yenu
Say yes babyHahahaha......