madame b.........i told you!

Haya Kipenzi changu Remote, Ila naogopa wambea.
CC: Baba V na Bishanga,

Kaka Mr Rocky,.............. njoo uniokoe huku.

Hebu nifahamishe kwanza ushakula hela yake au ashakununulia mkufu wa dhahabu au pete nzuri nzuri hivi
Au kashakutoa out sehem ya kutumia kama Milioni hivi au kukupa funguo za Vogue
kama hakuna hayo hebu mwambie asepe Madame B
 
Last edited by a moderator:
Usiwe na wasi mahabuba mtoto wa kitanga itabidi kutumia private jet ili kuavoid uchovu. Hope weekend nzima utaimalizia huko

Hahahha...................
Wewe wa huku tu.......
 
we acha tu na nauli ya kurudia dar hana.... Shark okoa jahazi mwanawane,mtu wa watu wewe.

Namuokoaje mazee! ? Mimba ntamreskyuje? Afu kuna fununu zisizo rasmi kwamba ana katoto kanakonyonya kifuani, asa si ndy itakua bemendonization?
 
Last edited by a moderator:
Hebu nifahamishe kwanza ushakula hela yake au ashakununulia mkufu wa dhahabu au pete nzuri nzuri hivi
Au kashakutoa out sehem ya kutumia kama Milioni hivi au kukupa funguo za Vogue
kama hakuna hayo hebu mwambie asepe Madame B

Kaka Wananiua huku.
 
Last edited by a moderator:
Kaka Wananiua huku.


Hawakuwezi wewe matawi ya juu Madame B unatembelea kitu ambacho hakuna awezaye kukimiliki na unakaa kwenye jumba ambalo hawawezi kuota hata kuweka mguu ndani
Waambie waje na cheque ya dollar kadhaa wakukabidhi ndo utoke nao out
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…