Nice thread lakini watu wangeacha kumlaumu Mh. SUPIKA. Wanamageuzi wamekuwa wakisema serikali na dola, wanamageuzi na Mungu. Mungu anaweza kuweka kitu cha kukukatisha tamaa but at the end of the road unakutana na NEEMA. Kwa nini nimesema hivyo: Makinda kuwa spika yawezekana ilikuwa ni mpango wa Mungu kupitia ujanja ujanja wa fisadiz. Na leo hii dunia yashuhudia jinsi mama anavyoendesha taasisi ya wananchi wa Tanzania kama chombo chake kwa kuonyesha udhaifu na upendeleo kwa chama chake. At the end, watanzania wategemee kupata neema kwa sababu hawatapenda kuona mtu mwenye mlengo na mawazo ya Makinda au SISIEMU akikalia tena hicho kiti.
Narudia tena, uspika wa Makinda ni mapenzi yake Mungu kuwaumbua wote ambao wanafanya mambo yao kwa ajili ya matumbo yao badala ya hao wanaowawakilisha.