ambwene_ambwene
Member
- Apr 3, 2012
- 26
- 4
Huyu Mama kha ..ametudhalilisha kina mama ameshindwa kazi ..hakana maamuzi .....🙁
:smile:
It is a wonderful piece.... Salute to you Madam!
Madame Speaker is a "Disgrace" to CCM, to herself, to Women na wananchi in Particular.... Toka mwanzo alitaka afanye ile kazi kwa kuonesha/kujionesha kua anaweza na NOTHING can go wrong. Akasahau na hakutambua kua haya mambo as much as yategemea ushauri katika jopo lake la pembeni la washauri Muhimu zaidi ni relying on one's Intelligence, Insticts and honor. Angetenda haki kwa kufuata what is right and what na what is wrong.... badala yake matendo yake ni kua she always wants to prove kua anaweza/yeye ndie yeye/yupo strong (ambayo haelewi maana yake for Ubabe sio kua strong).
Kwa upande mwingine naona tusimlaumu saana.... Ukweli ni kwamba HAWEZI, HAFAI, wala hana the intelligence required for the job. Huwezi kukimbiza upepo... kama HUWEZI - HUWEZI tu! Na kwa kweli as sad as it is to say... katika wanawake ambao wanawakilisha mahala mbali mbali katika nafasi nyeti hapa nchini... Katuangusha na katutia aibu. Sio kwa wanawake tu bali na Wananchi kwa Ujumla... she is useless kwa kweli.... Sad.
Binadamu tupo wa aina nyingi. Hujaona mwanamke analea mimba miezi 9 halafu anatupa mtoto chooni, kwenye mfuko wa rambo; anazaa, analea, ikifika wiki, miezi, miaka anatupa mtoto?
Huyu Mama anaweza kuwa wa aina hiyo au kubwa zaidi, anaweza hata kuwa mchawi. Mchawi hutoa kikoa (mtu) wake kwanza. Huyu Mama amewatoa kikoa wanawake wenzake na Watanzania kwa jumla.
Usishangae sana. Uchawi si lazima huyu Mama yetu aruke na ungo au kiwafanya watu misukule. Uchawi ni pamoja na kukosa huruma, kutokuwa na haya na kusaliti kile chenye thamani. Tanzania imesalitiwa.Mchawi..! yamekuwa haya .. ha ha haa, sred nyingine unabakia unacheka tu..
Dada yangu AshaDii
Tatizo la CCM ni kwamba huwa wanatafuta majibu mepesi kwa maswali magumu. Kuhusu hiyo nafasi ya Spika, CCM was supposed kuteua mtu makini, mwenye uelewa wa kutosha na anayeweza ku-counter hoja za wapinzani kwa namna ambayo haiwezi kukiweka Chama au serikali au Spika mwenyewe kwenye matatizo. Ukiangalia jinsi Madam Speaker anavyoendesha Bunge, tayari watu washaanza kusema heri ya Job Ndugui. Sasa kama Spika anaweza kufunikwa na Job Ndugai, basi hilo ni boya kabisa.
Shida ninayoiona kwa watu wa CCM ni kwamba huwa hawapendi kuweka mtu ambaye anaweza kuwaambia ukweli, na once ukianza kwenda kinyume nao watakuchukia na kukusukia zengwe ili uondoke. Mawakili wanaoshinda kesi, sio kwamba mtuhumiwa anakuwa hana kosa, bali ni namna ambavyo wanaweza kujenga hoja ya kumtetea mteja mpaka akaonekana hajatenda kosa. Sasa ukiweka Wakili Boya huwezi kushinda kesi, maana badala ya kukutea anaweza kuishia kukuangamiza. Hicho ndicho kinachotokea Bungeni chini ya uongozi wa Makinda na sasa hata Boyo jingine (Job Ndugai) anaonekana ana afadhali zaidi.
Anyway, kama anafanya damage kwa CCM nadhani CC watakuwa wamejifunza, next time hawatakuja kurudia kuweka boya kwa visingizio ambavyo havina kichwa wala miguu, may be watakuwa makini. Kwa kifupi Strategists wa CCM wameishiwa, kila move wanayofanya ina backfire.
Ila hapo mwishoni uliposema, "hana hata chembe ya busara" imebidi nicheke tu ....
Binadamu tupo wa aina nyingi. Hujaona mwanamke analea mimba miezi 9 halafu anatupa mtoto chooni, kwenye mfuko wa rambo; anazaa, analea, ikifika wiki, miezi, miaka anatupa mtoto?
Huyu Mama anaweza kuwa wa aina hiyo au kubwa zaidi, anaweza hata kuwa mchawi. Mchawi hutoa kikoa (mtu) wake kwanza. Huyu Mama amewatoa kikoa wanawake wenzake na Watanzania kwa jumla.
wakuu naona nchimbi katoa hoja ya kuhairisha bajeti na bunge limekubali. ni aibu kubwa kwa makinda kwani kakataa nini na sasa kakubali nini. ni aibu kubwa kwa magamba. wananchi wanaona kila kitu kinavyokwenda na serikali yao dhalimu inavyowafanyia.