"MADAM SHORTAGE YA UTAIFA"

Uongozi wa hivi Una walakini
Kwanza hiyo skafu..
Ni kujionesha mzalendo sana?Hizo ni dalili za usanii

Pili anaposema kuna watu wanataka atumbuliwe ina maana hajui sio kila anaekupinga anataka cheo chako?
Wengine wanakupinga sababu njia unazotumia sio sahihi..
Utakuja leta masihara usipo ambiwa.
 
Wanyiramba nao ni shida sana
 
Huyu Mama kwangu mimi ni mtendaji bora zaidi awamu hii...
 
MadaktAri wamekaa..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡
 
Hamna kila kitu, mwaka mmoja mrefu ..ngoja tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…