Mbeba Lawama
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 1,152
- 3,879
Hawa madalali wa magari kwanza wanafanya Biashara kua ngum sana kwa muuzaji mana yawezekana ww kama muuzaji unataka gari yako uiize kwa 5M ila madalali wanakupanga kua biashara inafanyika very soon unaona sawa hakuna shida.
Gari inaanza kutembezwa ilkua 5m utaikuta 8M au 7 mpka 6 apo wakat ww umesema uuze il usolve ishu yako ya haraka na unaiiza Very resonable price wanaongeza na mbwembwe za Aic utaganda sasa Kwan kujaza Aic n shngap s haizd hata laki?