Utitiri wa madalali wa magari ni janga kwa Wafanyabiashara

NOKIALUMIA

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
396
275
Kama tittle inavyoeleza Tanzania kumekuwa na madalali wengi mjini wengi wao wapo kimaslahi yao binafsi tena yenye lengo la kumpiga mteja narudia tena kumpiga mteja.

1. Madalali wengi wana tamaaa(greed)
Madalali wengi wana tamaaa. Mtu Ana ndoto ya kuwa na hela kubwa kwenye biashara ya mtu mwingine. Utakuta mwenye gari anataka m10 auze gari yake afu dalali anapost anataka m14 au adi 15 (yaaan kupost tu anajiona anafanya ya maaana sana) wajinga wanapigwa sana. Gari moja inapostiwa na madalali 20 kila mtu anataka bei kulingana na tamaaa zake..

Ivi kwanini madalali msiweke bei halisi za MAGARI afu msipange Ada za udalali?

Dalali mwenye tamaa hauzi gari, gari mwenzio kapost m10. 5 uskute ya boss ni m9. 5
2. Madalali wengi wajuaji. Atakuambia gari imekaza kumbe hajui chochote au gari imeendeshwa na mwanamke. Kumbe uongo mtupu so kuwa makini sana utauziwa kitu mbaya. Adi utawajua mafundi wote kwa majina matatu

3. Madalali wengi, hawajielewi mtu anapost gari afu hajui boss ni nani? Ukihitaji anatumia siku mbili kumtafuta mwenye gari

So kuwa makini kuna ndugu yangu alikua anauza short chassis ya rav4 m7 kila akiingia kwenye page za madalali anakuta dalali kaandika m11 wengine 10.8fixed kuna mwingine m12 akaona huu ushamba akaanza kupost siku hio hio sim kibao kachagua mwenywe mteja. Kaiuza fast sasa madalali week nzima afu alikuwa na shida hatari

Pongez kwenu madalali tumieni akili
 
Unakuta gari dalali wa kwa za kapost 9m wapili 11m wa3 kapost 11.5m wa4 naye kapost 12.5m
Yaan ukiangalia hapo kila mmja anataka ale kwenye gari hiyo hiyo
 
Kama tittle inavyoeleza Tanzania kumekuwa na madalali wengi mjini wengi wao wapo kimaslahi yao binafsi tena yenye lengo la kumpiga mteja narudia tena kumpiga mteja.

1. Madalali wengi wana tamaaa(greed)
Madalali wengi wana tamaaa. Mtu Ana ndoto ya kuwa na hela kubwa kwenye biashara ya mtu mwingine. Utakuta mwenye gari anataka m10 auze gari yake afu dalali anapost anataka m14 au adi 15 (yaaan kupost tu anajiona anafanya ya maaana sana) wajinga wanapigwa sana. Gari moja inapostiwa na madalali 20 kila mtu anataka bei kulingana na tamaaa zake..

Ivi kwanini madalali msiweke bei halisi za MAGARI afu msipange Ada za udalali?

Dalali mwenye tamaa hauzi gari, gari mwenzio kapost m10. 5 uskute ya boss ni m9. 5
2. Madalali wengi wajuaji. Atakuambia gari imekaza kumbe hajui chochote au gari imeendeshwa na mwanamke. Kumbe uongo mtupu so kuwa makini sana utauziwa kitu mbaya. Adi utawajua mafundi wote kwa majina matatu

3. Madalali wengi, hawajielewi mtu anapost gari afu hajui boss ni nani? Ukihitaji anatumia siku mbili kumtafuta mwenye gari

So kuwa makini kuna ndugu yangu alikua anauza short chassis ya rav4 m7 kila akiingia kwenye page za madalali anakuta dalali kaandika m11 wengine 10.8fixed kuna mwingine m12 akaona huu ushamba akaanza kupost siku hio hio sim kibao kachagua mwenywe mteja. Kaiuza fast sasa madalali week nzima afu alikuwa na shida hatari

Pongez kwenu madalali tumieni akili
Hali ni ngumu, lazima nao watafute namna ya kuishi.
 
Kwayo tule wapi sisi.
Hivi bila sisi hilo gari utauza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilikiwa natafuta chumba, sasa nikaamua kuingia insta kweny page za madalali daaah nikakuta jamaa ana chumba master elfu 80 nikazunguka page zingine nikakuta chumba kile kile dalali kapost laki, nikaona duuuh hawa wasengerema tu
 
Kama tittle inavyoeleza Tanzania kumekuwa na madalali wengi mjini wengi wao wapo kimaslahi yao binafsi tena yenye lengo la kumpiga mteja narudia tena kumpiga mteja.

1. Madalali wengi wana tamaaa(greed)
Madalali wengi wana tamaaa. Mtu Ana ndoto ya kuwa na hela kubwa kwenye biashara ya mtu mwingine. Utakuta mwenye gari anataka m10 auze gari yake afu dalali anapost anataka m14 au adi 15 (yaaan kupost tu anajiona anafanya ya maaana sana) wajinga wanapigwa sana. Gari moja inapostiwa na madalali 20 kila mtu anataka bei kulingana na tamaaa zake..

Ivi kwanini madalali msiweke bei halisi za MAGARI afu msipange Ada za udalali?

Dalali mwenye tamaa hauzi gari, gari mwenzio kapost m10. 5 uskute ya boss ni m9. 5
2. Madalali wengi wajuaji. Atakuambia gari imekaza kumbe hajui chochote au gari imeendeshwa na mwanamke. Kumbe uongo mtupu so kuwa makini sana utauziwa kitu mbaya. Adi utawajua mafundi wote kwa majina matatu

3. Madalali wengi, hawajielewi mtu anapost gari afu hajui boss ni nani? Ukihitaji anatumia siku mbili kumtafuta mwenye gari

So kuwa makini kuna ndugu yangu alikua anauza short chassis ya rav4 m7 kila akiingia kwenye page za madalali anakuta dalali kaandika m11 wengine 10.8fixed kuna mwingine m12 akaona huu ushamba akaanza kupost siku hio hio sim kibao kachagua mwenywe mteja. Kaiuza fast sasa madalali week nzima afu alikuwa na shida hatari

Pongez kwenu madalali tumieni akili
Mimi ni mtanzania lakini huwa nasema watanzania tu watu wa hovyo mno. Tunapenda kutafuniwa tu. Kwa wewe unayeuza gari: Kwa nini utumie dalali wakati siku hizi kuna njia nyingi tu kutangaza mwenyewe? Kila kitu kimekuwa na udalali. Hii inaonyesha nchi ilivyojaa watu wavivu na wazembe.
 
Kama tittle inavyoeleza Tanzania kumekuwa na madalali wengi mjini wengi wao wapo kimaslahi yao binafsi tena yenye lengo la kumpiga mteja narudia tena kumpiga mteja.

1. Madalali wengi wana tamaaa(greed)
Madalali wengi wana tamaaa. Mtu Ana ndoto ya kuwa na hela kubwa kwenye biashara ya mtu mwingine. Utakuta mwenye gari anataka m10 auze gari yake afu dalali anapost anataka m14 au adi 15 (yaaan kupost tu anajiona anafanya ya maaana sana) wajinga wanapigwa sana. Gari moja inapostiwa na madalali 20 kila mtu anataka bei kulingana na tamaaa zake..

Ivi kwanini madalali msiweke bei halisi za MAGARI afu msipange Ada za udalali?

Dalali mwenye tamaa hauzi gari, gari mwenzio kapost m10. 5 uskute ya boss ni m9. 5
2. Madalali wengi wajuaji. Atakuambia gari imekaza kumbe hajui chochote au gari imeendeshwa na mwanamke. Kumbe uongo mtupu so kuwa makini sana utauziwa kitu mbaya. Adi utawajua mafundi wote kwa majina matatu

3. Madalali wengi, hawajielewi mtu anapost gari afu hajui boss ni nani? Ukihitaji anatumia siku mbili kumtafuta mwenye gari

So kuwa makini kuna ndugu yangu alikua anauza short chassis ya rav4 m7 kila akiingia kwenye page za madalali anakuta dalali kaandika m11 wengine 10.8fixed kuna mwingine m12 akaona huu ushamba akaanza kupost siku hio hio sim kibao kachagua mwenywe mteja. Kaiuza fast sasa madalali week nzima afu alikuwa na shida hatari

Pongez kwenu madalali tumieni akili
Kazi na dawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom