Madalali wa Korosho zetu, Indo Power waanza kusaka soko kupitia Alibaba!

Pengine tutaonekana tuna wivu, lakini penye ukweli na usemwe: Serikali ya Magufuli hapa imeingia mkenge na imeingia kichwa kichwa.

Unaweza kuona wanavyotangaza hapa: Source raw cashew nuts Outturn 49 -52 on m.alibaba.com au Raw Cashew Nuts Outturn 49 -52 - Buy Outturn 49-52 Organic Dry Product on Alibaba.com na profile yao ipo hapa Company Overview - Indo power solutions

Angalia details hizi kwa mujibu wa Alibaba:

View attachment 1019349

Uwezo wa Kampuni - Research & Development team LESS THAN 5 people:

View attachment 1019353

Lakini, angalia production capacity yao ni ipi na SOMA wao wanasemaje kuhusu 'Cooperation Factory' yao:

View attachment 1019356

Madalali hawa, wanamtumia kijana “Nash Ngare” ambaye profile yake LinkedIn inaonekana kama hivi https://www.linkedin.com/in/nash-ngare-81870369/

Angalia kwenye details za profile yake amejiunga na kampuni lini:
View attachment 1019338
View attachment 1019337

Again, huyu naye ni kundi moja na kina Brian Mutembei; ni kijana wa Ruto

View attachment 1019369

Asante sana. Kazi nzuri sana umefanya. Wajibu wetu sisi wengine ni kuchukua kutokea hapa.
 
Kama wameingia mkataba wakanunua kwetu huku sisi kinatuhusu nini wapi wao wanaenda kuuza? Isipokuwa kama wamenunua kwa kutukopa wakiahidi kutulipa "wakishauza"; hapo kutakuwa na tatizo. Lakini wakilipa kwetu na wakabeba sheneza zao hilo lwao wapo wataenda kuuza au kula..
 
Mzee,

Naona hauko informed. Siwezi kukulaumu.

Mpaka unaona tunapiga kelele juu ya hili ujue kuna tatizo kubwa sehemu.
 
Kama wameingia mkataba wakanunua kwetu huku sisi kinatuhusu nini wapi wao wanaenda kuuza? Isipokuwa kama wamenunua kwa kutukopa wakiahidi kutulipa "wakishauza"; hapo kutakuwa na tatizo. Lakini wakilipa kwetu na wakabeba sheneza zao hilo lwao wapo wataenda kuuza au kula..
Mzee ungekaa tu kimya utatetea urongo mpaka lini ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wameingia mkataba wakanunua kwetu huku sisi kinatuhusu nini wapi wao wanaenda kuuza? Isipokuwa kama wamenunua kwa kutukopa wakiahidi kutulipa "wakishauza"; hapo kutakuwa na tatizo. Lakini wakilipa kwetu na wakabeba sheneza zao hilo lwao wapo wataenda kuuza au kula..

Jiwe na Mutembei wote ni kangomba tu. Richmond wa awamu ya tano.
 
Inaelekea watu wameamua kuji-intoxicate bila sababu. Hivi hapa kuna tatizo gani korosho ya Mtwara, Tanzania ikiuzwa na kusambazwa duniani kote kupitia soko kubwa la kimtandao la Alibaba? Sasa mswahili kujua kuwa korosho kutoka nchini kwetu inauzwa na kusambazwa kupitia biashara mtandano ya Alibaba inakuwaje story au laana kwa seikali au kushindwa kwa utawala? Inaelekea kuna watu wameamua kujiweka vibaya na watasaga meno sana maana hakutakuwa na unafuu kwao hadi wabadilike kuwa positive.
 
Inaelekea kuna watu wameamua kujiweka vibaya na watasaga meno sana maana hakutakuwa na unafuu kwao hadi wabadilike kuwa positive.
Mkuu,

Hukuwa hivi hapo awali. Umebadilika. Unadhani tunaotahadharisha hatuko positive?

Ilitakiwa sote tuandike “Naunga mkono juhudi” ndio ieleweke kuwa tuko positive?

Mkuu, rekodi yako hapa JF haionyeshi wewe ni wa kupindisha maneno. Hebu iite nyeusi kuwa nyeusi
 
Kama wameingia mkataba wakanunua kwetu huku sisi kinatuhusu nini wapi wao wanaenda kuuza? Isipokuwa kama wamenunua kwa kutukopa wakiahidi kutulipa "wakishauza"; hapo kutakuwa na tatizo. Lakini wakilipa kwetu na wakabeba sheneza zao hilo lwao wapo wataenda kuuza au kula..

Wewe Mwanakijiji hebu jiongeze, Unaweza kununua mzigo wa dola milion 180 bila kwanza kuwa na uhakika wa wapi na nani unaenda kumuuzia?

Hii itoshe kukupa signal tu kuwa Hizi Koroshow tunaenda kuzinunua kwa pesa zetu wenyewe huku tukijifanya eti kampuni ndo imezinunua ( hii yote ni kujaribu kusave face ya Jiwe na kukwepa mtego wa bunge maana akizinunua waziwazi kwa pesa ya serikali ataulizwa anazinunua kwa bajeti ipi iliyopitishwa na bunge?).

Halafu baada ya hapo kampuni hiyo kimyakimya tunaipa udalali wa Koroshow zetu, ikishapata mteja na kuziuza itaturudishia pesa zetu na yenyewe itakula Commision yake.

Aliyechora ile Katuni ya Jiwe anacheza draft na kujifunga mwenyewe alikuwa na akili sana!
 
Back
Top Bottom