BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 4,749
- 10,319
- Thread starter
- #61
Acha porojo bwana, ungekuwa makini ungeelewa tafsiri niliyoitoa ya neno "DAKTARI".Ngoja nikupe elimu kidogo kwanza daktar,nesi, hawahusiki kabisa na kuvumbua dawa za magonjwa sugu yanayotusumbu huwezi kuelewa sababu upo out of this field.
Hata ukifungua kitabu chochote unakutana na GLOSSARY inayotoa tafsiri ya maneno husika yaliyotumika katika muktadha wa kitabu husika.
Tafsiri ya neno daktari katika muktadha wa andiko langu inajumuisha hizo kada zingine sijui za utafiti na makorokocho mengine unayoyajua sana.
Sasa unijibu swali, kwanini mmegeuka kuwa misukule?