Mkuu MVUMBUZI naomba utambue kwamba hata Hospitali ya MT MERU ni biashara, bali wao hawafanyi biashara kwa faida. Mtaji wa kuendeshea hiyo biashara unatokana na kodi zetu; kumbuka vifaa na madawa vinanunuliwa pamoja na kuwalipa wahudumu. Wateja ni mimi na wewe. Hivyo basi wanapaswa kujifunza jinsi ya ku-care wateja wao.
Hivyo basi ni wajibu wetu sote kuhakikisha kwamba tunatoa huduma kwa wateja wetu vyema, ninaamini hata wewe kuna wateja wansubiri huduma yako SASA HIVI, JE UNAWAHUDUMIA VYEMA, UNATIMIZA WAJIBU WAKO,.............!!!! JE HUTENGENEZI MAZINGIRA YA KUPEWA RUSHWA???????. Kila mmoja wetu kuwajibika kwa sehemu yake katika kufikisha huduma bora kwa wateja wetu, kama MLAIZER alivyoeleza kwamba tatizo ni mfumo; tushirikiane kubadili mfumo huu mbovu katika kuleta huduma kwa jamii yetu. Mabadiliko yaanze kwa kila mtu katika eneo lake.
pole kwa kufanya utafiti huo japo ningekushauri siku nyingine kabla ya kutoa majibu kwa wanajamii ungeenda mbali zaidi hata kuwaona watu kama katibu wa afya wa hospitali hiyo na medical officer incharge kumpatia taarifa hizo ili kusaidia kuondoa kero kama hizi
Jackbauer hoja yako ya kusema mtu kama hajatendewa haki aende mahakamani haipo kwani najua wewe siyo mgeni wa mahakama. What will happen ni ninyi manesi na madaktari mataji-mobilise mtafute wakili na kwenda kuwaonga mahakimu na wewe mwenyewe unajua nini kitatokea wakati watu mia watakapokuwa wanatoa ushahidi dhidi ya watu watatu au kumi ambao source zao za income na uwezo wao kifedha ni very uncertain.
Nafikiri kuendelea kusemana ndiyo njia iliyobaki na tutaendelea ku shout kwa kutumia all means at our disposal hadi pale kilio chetu kitakapofika mahali muafaka kwa ajili ya radical and favourable changes.

Mimi na mimi ni mfanyakazi. Quess how long will it take kumwona mtu kama huyu haswa anapojua unakuja kujadili suala ambalo linapingana au kukosoa badala ya kupongeza ofisi yake. Quess possiible pretex kama: "katoka urudi kesho, yuko wodini, yuko kwenye emergence , yuko kwenye semina, yuko kwenye kikao cha dharura atatoka sasa hivi au muda si mrefu, yuko off njoo kesho kutwa, amefiwa amekwenda kwenye msiba wa mfanyakazi mwenziye, ana matatizo ya kifamilia, leo hajyupo anaumwa jaribu kesho kuanzia saa sita'" etc. Sasa hivi ndivyo taasisi zetu zinavyofanya kazi kwa hiyo kwa mtu uliyeko busy huwezi kupoteza muda wako wakati tayari unajua outcome itakuwa kitu gani ni bora tu nitumie media mbalimbali kuwasema na kama wasipojirekebisha "Corrective measures" nyingine bora zaidi zinaweza kutumika.
Alafu mgonjwa alishatibiwa selian na mkapewa transfer kuenda ocean road kilichokufanya umlete mt meru ni nini?kilichokufanya kushindwa kumtibu hospitalini kwako ni nini kama alikuwa anahitaji drip tu?kuna umuhimu wa kuenda kuupgrade elimu yako au na wewe ni nesi?kama unaona umeonewa naomba ukalalamike kwa medical officer in charge ukalalamike

mfumo huu unaosema sio unique kwa taasisi unayofanyia kazi bali ni universal hata mt meru upo,sasa wewe kwa makusudi umeamua ku-ignore kwa kisingizio madaktari eti wanateteana!kwa taarifa hakuna proffesionals wasioteteana but mtu hutetewa iwapo hajakiuka maadili na miiko ya proffession husika.nenda katoe feedback ya huduma aliyopewa mgonjwa wako hapo hospital, utaonekana jasiri,muungwana na mpenda maendeleo but kuja hapa jf na ku-smear mtu au taasisi inaonyesha usivyokuwa mstaarabu na mstahimilivu.
Ngongo hapo umeharibu,ugonjwa wa mgonjwa hatuudiscuss bila ridhaa yake na wala hakuwa na huo ugonjwa wa kisasa.ila kuhusu ufanyakazi wa dr isra nakuunga mkono.@ jack baeur inauuma sana coz tunahangaikia wagonjwa kwa moyo moja na hata sometimes we go an extra mile to ensure their survival.huyo mwanzlishi wa mada halijui hilo and its very unfair kuitwa wauaji wakati tunahangaika ucku na mchana.mt meru ina kasoro zake like any other goverment hospital.comment za mwanzilishi wa mada na wanao msupport ni offensive na zinatuvunja moyo hata katika kutoa huduma nzuri kwa wagonjwa coz @ the end of the day,ufanye vizuri or vibaya bado tunalaumiwa
JF ni medium muafaka ya watu kushare experiences zao ktk maisha kama mtoa hoja alivyofanya. Swala la kusema angeenda kutoa taarifa linaonyesha jinsi analytical skills zako zilivyo ndogo ktk agenda husika.
Kama ungekuwa positive ktk hili basi ungelifanyia kazi na si kutetea kutowajibika.
Nimefuatilia exchange zako kinachonishangaza ni kwamba zaidi ya swala ku-smear mtu au taasisi hakuna kitu positive ulichopata ktk hiyo thread juu ya huduma hapo Mount Meru hususani kutoka kwa huyo dk husika. Why are you defensive?
Unaonekana kutokubaliana na mtoa hoja je ulikuwepo wakati hiyo incident inatokea?
Nadhani mtoa hoja alikuwa na nia njema tu ya kuweka wazi kilicho transpire. Swala la kusema ana smear mtu au taasisi ni moja kati weakness kubwa sana kwa watu wasioweza kujibu hoja za msingi.