Madaktari watinga ikulu

Kama kila mmoja wetu atakuwa mkweli threads zetu za huko nyuma tulikuwa tunamtaka JK kukutana na madaktari yeye mwenyewe lakini bado hatuoni mazuri kwenye uamuzi huu wa Rais.
 
Safi sana Rais JK. Ikulu ni ya Watanzania wote itumie kutatua matatizo ya raia wako. Kwisha habari; nasubiri taarifa ya habari ya saa mbili kamili kupitia TBC1 ikiwa na habari ya kwanza kabisa kwamba madaktari wamkubali kuacha mgomo bila masharti yoyote baada ya kuwa wamekutana na Rais ikulu ya Dar es Salaam. Nilikuwa nataka kushangaa, kama JK aliweza kusaidia katika utatuzi wa mgogoro wa Kibaki na Raila na pia kumaliza gogoto la Zanzibar iweje ashindwe na kagogoro haka kadogo! Miaka kumi akiwaongoza mabalozi imempa uzoefu wa kutosha wa kidiplomasia. Hapa inatumika diplomasia tu.

.......nani kakudanganya kuwa hayo (in red) aliyafanikisha yeye??

this must be a joke or something!
 
Jamani hivi hata techniques kidogo za majadiliano hatuna au hatuzijui? Mtu akikuita uende kujadiliana naye nyumbani kwake wewe hesabu umeumia. Amekalia kiti chake cha enzi na wewe ndio mara ya kwanza unaingia kwake tena IKULU.
Hapana, Ikulu si nyumbani kwa Kikwete, kapangishwa tu na matajiri wake ambao ni wananchi. Aliikuta Ikulu na ataiacha jinsi wananchi watakavyoamua ama kwa hiari au kwa kulazimishwa.

Haya yetu macho. Lakini yote heri tunachokata mgomo uishe watu wapate huduma za matibabu.
Mnachotaka wewe na nani? Je Kikwete mwenyewe anatakaje? Mbona huduma zingeendelea tu kama kawaida kama angewajibika kwa kutumia busara kidogo tu.

Safi sana Rais JK. Ikulu ni ya Watanzania wote itumie kutatua matatizo ya raia wako. Kwisha habari; nasubiri taarifa ya habari ya saa mbili kamili kupitia TBC1 ikiwa na habari ya kwanza kabisa kwamba madaktari wamkubali kuacha mgomo bila masharti yoyote baada ya kuwa wamekutana na Rais ikulu ya Dar es Salaam.
Uko miongoni mwa wale asilimia 75% anaowasema Kikwete! Umesahau tu kupiga makofi.

Nilikuwa nataka kushangaa, kama JK aliweza kusaidia katika utatuzi wa mgogoro wa Kibaki na Raila na pia kumaliza gogoto la Zanzibar iweje ashindwe na kagogoro haka kadogo! Miaka kumi akiwaongoza mabalozi imempa uzoefu wa kutosha wa kidiplomasia. Hapa inatumika diplomasia tu.
Kumbe haka kamgogoro kalikuwa kadogo...yaani watanzania kupoteza maisha ni kitu cha kawaida tu! No wonder polisi wamegeuka wauaji nchi hii! Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi, diplomasia my foot! Big up Kimbunga!
 
Mwenye taarifa juu ya hayo mazungumzo tafadhali atujulishe. Muhimu.
 
Hongera sana JK.
You are the only president in the history of TZ who really listens to the calls of your citizens(wananchi).
May God bless you!
JK ni zawadi toka kwa MUNGU kwa TZ.
Mungu akubariki sana JK. AMEN
 
Kusema kweli waziri wa afya na naibu wake ni haki yao kabisa kujiondoa, kwa asilimia 100% wameshindwa
kuiongoza wizara ya afya. picha chache zilizoonyeshwa jana humu JF kuhusu hospitali ambayo ni kubwa ya
rufaa Tanzania, Muhimbili inasikitisha! Kusema kweli watanzania tuungane na madaktari kuondoa huu utandabui.
Hali sio nzuri kabisa kiafya, Vitendea kazi hamna, dawa hakuna, malipo ya madaktari madogo, hospitali chafu
hao wagonjwa watapona vipi wakati wanalazwa katika sakafu, na aina yeyote ile ya kusitisha mgomo wa madaktari
kuwe na makubaliano ya utekelezaji wa madai yote mara moja. Waziri wa afya na naibu wako, msingojee kuimizwa
andikeni barua za kujiuzulu, na mara moja muende katika vyombo vya habari na kuwatangazia wananchi.
kinyume cha hapo itakuwa ni nyinyi ndio mnaosababisha maafa yote haya.
 
Hongera sana JK.
You are the only president in the history of TZ who really listens to the calls of your citizens(wananchi).
May God bless you!
JK ni zawadi toka kwa MUNGU kwa TZ.
Mungu akubariki sana JK. AMEN

Kampe Masaburi basi, si amekukuna?
 
Kusema kweli waziri wa afya na naibu wake ni haki yao kabisa kujiondoa, kwa asilimia 100% wameshindwa
kuiongoza wizara ya afya. picha chache zilizoonyeshwa jana humu JF kuhusu hospitali ambayo ni kubwa ya
rufaa Tanzania, Muhimbili inasikitisha! Kusema kweli watanzania tuungane na madaktari kuondoa huu utandabui.
Hali sio nzuri kabisa kiafya, Vitendea kazi hamna, dawa hakuna, malipo ya madaktari madogo, hospitali chafu
hao wagonjwa watapona vipi wakati wanalazwa katika sakafu, na aina yeyote ile ya kusitisha mgomo wa madaktari
kuwe na makubaliano ya utekelezaji wa madai yote mara moja. Waziri wa afya na naibu wako, msingojee kuimizwa
andikeni barua za kujiuzulu, na mara moja muende katika vyombo vya habari na kuwatangazia wananchi.
kinyume cha hapo itakuwa ni nyinyi ndio mnaosababisha maafa yote haya.

Mponda kayakuta, hayo tunayo toka wakati wa Maalim. Mponda kaja kaziba mianya ya ulaji, ndiye aliyekuja kutatua matatizo ya wananchi, lazima aonekane mbaya. Kwani yule wa kabla yake aliyetokea hapo hapo Muhimbili alifanya nini? na kwa nini kapigwa chini? zaidi kakutikana na kale kamdudu "Pele" kanachotuhangaisha sana Watanzania.

Na hayo mamitambo yote yaliyo chini ya kiwango aliyapitisha yeye na Mponda kaja kugunduwa janja iliyofanyika anaonekana mbaya.

Kikwete kenda kuwaonesha leo, wanachokijuwa Serikali kuhusu hao madaktari, nakuambia hawasemi kitu leo mpaka wakafikirie watachoongea kesho. Kama unabisha wewe tazama, si walikuwa wanaleta kila habari humu JF leo watazame watavyobadilika.
 
nashindwa kuacha kuamini kuwa mgomo haupo tena sababu wamefika mikononi mwa politician science yao wataweka pembeni, tusubiri magazeti kesho MADAKTARI WAAHIDI KUREJEA KAZINI
 
Hizi sarakasi zote tunazoziona toka Vasco Dagama aingie madarakani huwa anatabia ya kuweka watendaji wake chambo wakinasa ye ndo anakuwa mwokozi.

Kwani tofauti yake na pinda liko wapi kwani si jk ndo alikuwa anamwagiza namna ya kufanya hadi tamko la mwisho katumwa na nani?

Nacho kiona ya Lowasa yanamnyemelea Pinda
 
jk ni tatizo,jana kuna mwenzetu aliweka thread ya ushupavu wa uongozi-hotuba ya rais mstaaf mkapa,niliisoma kwa kina sana ,hakka jk ni tatizo
 
You have nailed it mkuu..we have in Record that Lowasa had asked "ni kitu kipi ambacho nilikifanya ambacho ulikua hukijui?" this was during the NEC meeting in Dodoma. Yap Pinda yanamjia yaleyale. Kwa mtazamo wangu anastahili sijapata kuona kiongozi asiye na uwezo wa kuamua Kama Mizengo. He is wraped up in trying to "do it right" that he can't use wisdom and can't make decisions. Kwa Lugha ya mtaani Mizengo mnafiki.
 
Tafuten watu wazima wakukumbushen 1972 opereshen vijiji vya ujamaa au hotuba ya nyerere 1985 hotuba ya kuaga akielezea jinsi kawawa alivyogeuka chambo cha lawama na tuhuma za serikl kutupiwa kawawa peke yake bila kumhusisha mwl nyerere,jk kaiga tu iyo style!
 
Jamani na sisi ma-great thinkers tuwe tunafikiria..hivi kweli huyu jamaa anaetupa-updates anaweza fanya hii kazi ikulu? kwenye ulinzi wa kufa mtu? Naanza kukosa imani na updates za huyu jamaa..wewe tazama hata anavyoripoti ni kama ana-joke vile..ikulu ni ngumu kutupa updates labda sijui iweje,tuwe ma-great thinker kufikiria kwa hili.

Waweza kuta ndo anayewahudumia samosa na ghahawa. lakini pia nini mashaka naye manake hata kama angekuwa anaandaa chai atakaa kwenye net saa ngapi?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom