Madaktari watinga ikulu

Mkuu anawagombeza kama watoto ma doc wamekuwa wadogo kama tule tudawa wanakotupaga

Usifanye mchezo na mtu anaeshika dola, hata maandiko matakatifu yanasema yanasema ! nilijua tu wakifika kwa mkulu lazima wawe wadogo

Mkuu anawagombeza kama watoto ma doc wamekuwa wadogo kama tule tudawa wanakotupaga
wako nyumbani kwake. wacha aongee hata mapovu yamtoke.
kama hajaeleza chochote, MGOMO inogileeeee
 
ulimboka ndani ya ikulu.jpg ulimboka ndani ya ikulu
 
Wanapiga sambusa na kahawa kwa sana na juis kama kawa wanaonekana walikuwa na njaa kali;wamepewa nafasi naona wana kigugumizi mkuu kaweka ndita
 
Usifanye mchezo na mtu anaeshika dola, hata maandiko matakatifu yanasema yanasema ! nilijua tu wakifika kwa mkulu lazima wawe wadogo

Wasomi uwa wanajenga hoja,na si kugombana au kugombezana,hata akifoka wakamdharau mwisho wa sikua wakaendelea na mgomo nani atakae onekana kilaza?inatakiwa wapigane kwa hoja mpaka wafikie muafaka
 
Wanapiga sambusa na kahawa kwa sana na juis kama kawa wanaonekana walikuwa na njaa kali;wamepewa nafasi naona wana kigugumizi mkuu kaweka ndita

unatoa habari kishabiki sana. Au umeamua kutunga kaigizo
 
Kila mtu anapapenda ikulu, CDM nao kiherehere chao wakaenda, na madaktari nao wamekwenda , haya na JF tujipange twende kwani hao wote wanafuata juice za ikulu

Acha pumba zako twende huko tukafanye nini?sie tunasend message from here na anazipata
 
Katika hali isiyotarajiwa, ule mkutano wa Rais na wazee-ccm Daressalaam umehairishwa baada ya Rais kumua kukutana na uongozi wa Madaktari sasa hivi. Kwa wenye busara zao,hiki ndo tulikitarajia kwa mkuu wa nchi na wala si kuleta propaganda za Pinda. Source: Radio claudz Fm.
 
Ni uamuzi mzuri wa kufanya majadiliano. Naamini kikwete atafanya maamuzi ambayo yana manufaa kwa taifa.
 
Jamani na sisi ma-great thinkers tuwe tunafikiria..hivi kweli huyu jamaa anaetupa-updates anaweza fanya hii kazi ikulu? kwenye ulinzi wa kufa mtu? Naanza kukosa imani na updates za huyu jamaa..wewe tazama hata anavyoripoti ni kama ana-joke vile..ikulu ni ngumu kutupa updates labda sijui iweje,tuwe ma-great thinker kufikiria kwa hili.
 
Back
Top Bottom