Madaktari watinga ikulu

Madaktari watinga ikulu

waeleze duku duku zao zote sio watoke apo kesho waanze ngonjera zao kama watoto
 
Safi sana Rais JK. Ikulu ni ya Watanzania wote itumie kutatua matatizo ya raia wako. Kwisha habari; nasubiri taarifa ya habari ya saa mbili kamili kupitia TBC1 ikiwa na habari ya kwanza kabisa kwamba madaktari wamkubali kuacha mgomo bila masharti yoyote baada ya kuwa wamekutana na Rais ikulu ya Dar es Salaam. Nilikuwa nataka kushangaa, kama JK aliweza kusaidia katika utatuzi wa mgogoro wa Kibaki na Raila na pia kumaliza gogoto la Zanzibar iweje ashindwe na kagogoro haka kadogo! Miaka kumi akiwaongoza mabalozi imempa uzoefu wa kutosha wa kidiplomasia. Hapa inatumika diplomasia tu.

Kimbunga siku nzima ya leo ulikuwa unaenda vyema,sijui shetani kadi maskini kakuingilia muda huu,hivi na wewe unaamini kuwa JK ndiye aliyewapatanisha Kibaki na Odinga? umekuja kama kimbunga na pumba za kutosha.
 
Hapo ndio kwa Jakaya Mrisho Kikwete, gahwa na juisi za tende, ukitoka hapo kimyaa. Huna ngonjera.

BPE.
 
naskia mkw.ere aliwaita waongee faragha na sasa kawapigia magoti akiwasihi wasitishe mgomo.

acha ujinga wewe,inaonekana una ushabiki wa kishamba kweli.hakuna mtu aliempigia mwenzake magoti,wameomba kukutana na rais amewakubalia,sasa we unakuja kuanza kuropoka apa bana
 
drs sio think tanks wa taifa jamani, wa mwili wa mwanadamu sawa kwa kiasi.
Arrogance inawaponza.
Think tanks would dare to admit that they know less than ppl think they know.
Baada ya form six wamesomea viumbe tu, tena kiumbe mmoja. Wenye bahati ya kuhusisha na mambo nje ya hosp kidogo wanaanza kujua dunia inaenda wapi. Tofauti na wengine ambao husoma masomo kuhusu mambo mengi na kupanuka mawazo mapema
You got to admit gal,they are think tanks.
Have you ever asked yoself why docs are highly paid in europe,america and some parts of africa with exception of tanzania than other expert?why do u think doctors can switch easily to another profession like law,economics but nt others to medicine?jst internalize..and think beyond your horizon..
 
Mi nilisema mchana kuwa JK busara anazo tatizo ni hizo protocally za wakina Tyson. Alitakiwa akutane na hawa Drs tangu kwenye mgomo wa kwanza au angempa uwezo wa kuamua PM. Sasa PM amemponda Dr. Ulimboka na leo yuko magogoni.
Mara ooh wasioenda kazini jumatatu watakuwa wamejifukuza kazi then leo wanakimbia mahakamani.
Sarakasi mwanzo mwisho
 
You got to admit gal,they are think tanks.
Have you ever asked yoself why docs are highly paid in europe,america and some parts of africa with exception of tanzania than other expert?why do u think doctors can switch easily to another profession like law,economics but nt others to medicine?jst internalize..and think beyond your horizon..

All dirty works pays more in the western world.
 
Mwenyezi mungu awatangulia mpate muafaka endelevu wenye maslahi ya kudumu kwa umma!!
 
quote_icon.png
By Haika
drs sio think tanks wa taifa jamani, wa mwili wa mwanadamu sawa kwa kiasi.
Arrogance inawaponza.
Think tanks would dare to admit that they know less than ppl think they know.
Baada ya form six wamesomea viumbe tu, tena kiumbe mmoja. Wenye bahati ya kuhusisha na mambo nje ya hosp kidogo wanaanza kujua dunia inaenda wapi. Tofauti na wengine ambao husoma masomo kuhusu mambo mengi na kupanuka mawazo mapema

umenichekesha sana na ulichoandika.hivi nyie mnaojiita think tanks mnatibiwa na nani?leo hii daktari aweza sema you are insane and society will believe him beyond doubts.daktari anajua ni jinsi gani ubongo wa huyo think tank unavyofanya kazi sasa nani hapo think tank?

Malumbano yasiyo na msingi
wala hayachangii hii thread....
 
acha ujinga wewe,inaonekana una ushabiki wa kishamba kweli.hakuna mtu aliempigia mwenzake magoti,wameomba kukutana na rais amewakubalia,sasa we unakuja kuanza kuropoka apa bana

Ni serikali ndio iliyo omba kukutana na viongozi wa drs na si wao kumuomba rais
 
You got to admit gal,they are think tanks.
Have you ever asked yoself why docs are highly paid in europe,america and some parts of africa with exception of tanzania than other expert?why do u think doctors can switch easily to another profession like law,economics but nt others to medicine?jst internalize..and think beyond your horizon..

That is a common practice in developed world to switch to medicine from other specialities like law etc. Their curriculum allows them to do so as they learn science subjects at all levels.
 
drs sio think tanks wa taifa jamani, wa mwili wa mwanadamu sawa kwa kiasi.
Arrogance inawaponza.
Think tanks would dare to admit that they know less than ppl think they know.
Baada ya form six wamesomea viumbe tu, tena kiumbe mmoja. Wenye bahati ya kuhusisha na mambo nje ya hosp kidogo wanaanza kujua dunia inaenda wapi. Tofauti na wengine ambao husoma masomo kuhusu mambo mengi na kupanuka mawazo mapema

Acha chuki binafsi kwani kilikushinda nini kuwa doctor? Nahisi nyie kutokana na chuki binafsi kwa kushindwa kuwa madoctor mmekuwa mnawakandamiza makusudi kama Blandina Nyoni alivyosema, angalieni sasa mlipotufikisha, mnafikiri hii ni historia nzuri?
 
quote_icon.png
By Haika
drs sio think tanks wa taifa jamani, wa mwili wa mwanadamu sawa kwa kiasi.
Arrogance inawaponza.
Think tanks would dare to admit that they know less than ppl think they know.
Baada ya form six wamesomea viumbe tu, tena kiumbe mmoja. Wenye bahati ya kuhusisha na mambo nje ya hosp kidogo wanaanza kujua dunia inaenda wapi. Tofauti na wengine ambao husoma masomo kuhusu mambo mengi na kupanuka mawazo mapema

Malumbano yasiyo na msingi
wala hayachangii hii thread....

Hayo ni maneno mazito sana kwa mwenye kuelewa.
 
Mama yangu msije kosa kuamka kesho!
Maana hii nchi kwa kuwapotezea raia wake hatujambo!
 
Mtawala tujuze ulimboka kasalimiana na jk au

Aliyewaambia kuwa bila Ulimboka mgomo hauwezekani ni nani? Hebu muacheni kijana wa watu atulie huko aliko. Mnahangaika naye bure wakati hata hapa nchini hayupo na wala hajui kinachoendelea safari hii.
 
acha ujinga wewe,inaonekana una ushabiki wa kishamba kweli.hakuna mtu aliempigia mwenzake magoti,wameomba kukutana na rais amewakubalia,sasa we unakuja kuanza kuropoka apa bana
muuongo ww ,rais ndiyo ameomba na ilibaki kidogo makamanda wasikubali wito.
 
Back
Top Bottom