Acha kiherehere!! Madaktari wanajua wanachokifanya!! Wanajua chanzo cha mgogoro na pia wanajua adui yao ni nani. Usijiingize katika mambo usiyoyajua!!Mkuu unaweza kutuambia hivi Waziri na Naibu Wazari wa Afya na Ustawi wa Jamii wanazuia vipi meza ya mazungumzo. Je kwa yale majibu waliyowapa ambayo hamkuyapenda, ndio msimamo wa serikali toka juu kwa nini wawajibike wao ilihali serikali imewaagiza wafanye walivyofanya?.. Kwa nini wasiwepo mezani kujibu hoja zenu ikiwa litazungumzwa ama kuongezwa neno tofauti na walivyofanya ama walivyoelekezwa!. Siku zote mazungumzoa yanahitaji pande mbili husika hata maswala ya Iraq huyo Assad hushiriki iweje swala hili liwe la madaktari na waziri mkuu tu au mnashindwa kusema mbele yao.
Ewe TUMBIRI!!Na ndipo tunapotaka tuwafikishe! Tuliwaambia hii nchi haiwezi kutawalika, wakadhani tunatania. Ona sasa walivyonywea. Ari, Nguvu na Kasi zaidi ya JK vimeliwa na nini? Kasi na Viwango vya Samwel Sitta vimepotelea wapi??
[COLOR=#FF0000 said:Acha kiherehere!! Madaktari wanajua wanachokifanya!! Wanajua chanzo cha mgogoro na pia wanajua adui yao ni nani. Usijiingize katika mambo usiyoyajua!!
[/COLOR]
Ila inauma! Assume Mponda angekuwa Baba yako?.........Nkya mama yako?.....
Mkuu unaweza kutuambia hivi Waziri na Naibu Wazari wa Afya na Ustawi wa Jamii wanazuia vipi meza ya mazungumzo. Je kwa yale majibu waliyowapa ambayo hamkuyapenda, ndio msimamo wa serikali toka juu kwa nini wawajibike wao ilihali serikali imewaagiza wafanye walivyofanya?.. Kwa nini wasiwepo mezani kujibu hoja zenu ikiwa litazungumzwa ama
kuongezwa neno tofauti na walivyofanya ama walivyoelekezwa!. Siku zote mazungumzoa yanahitaji pande mbili husika hata maswala ya Iraq huyo Assad hushiriki iweje swala hili liwe la madaktari na waziri mkuu tu au mnashindwa kusema mbele yao.
Mkuu unaweza kutuambia hivi Waziri na Naibu Wazari wa Afya na Ustawi wa Jamii wanazuia vipi meza ya mazungumzo. Je kwa yale majibu waliyowapa ambayo hamkuyapenda, ndio msimamo wa serikali toka juu kwa nini wawajibike wao ilihali serikali imewaagiza wafanye walivyofanya?.. Kwa nini wasiwepo mezani kujibu hoja zenu ikiwa litazungumzwa ama kuongezwa neno tofauti na walivyofanya ama walivyoelekezwa!. Siku zote mazungumzoa yanahitaji pande mbili husika hata maswala ya Iraq huyo Assad hushiriki iweje swala hili liwe la madaktari na waziri mkuu tu au mnashindwa kusema mbele yao.
I support the doctors!

kama ni uchochezi haya weka ukweli tuuone! wewe ni sawa na debe tupu haliachi kuvumaacha uchochezi....
TAARIFA YA TATHMINI YA MGOGORO WA MADAKTARI TOKA TAREHE 03.03.2012
Uongoziunapenda kutoa taarifa kwa madaktari wote nchi nzima kuwa hali ya ushirikiano na umoja miongoni mwetu imeendelea kuimarika sana, hospitali mbalimbali zimeendelea kushiriki katika kushinikiza madai yetu kutekelezwa ili madaktari waweze kutoa huduma za afya.
Ni muhimu ikafahamika kuwa mpaka sasa Serikali haijatoa jibu la msing...i juu ya utekelezaji wa hatua muhimu ya kuendelea na mazungumzo, na hilo ni juu ya Kuwajibika kwa Waziri na Naibu Wazari wa Afya na Ustawi wa Jamii kwa lengo la kupisha meza ya mazungumzo.
Pia tumepata taarifa kupitia vyanzo visivyo rasmi juu ya Mhe, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kukutana na kuzungumza na Wazee wa Dar es Salaam, hivyo basi tuna imani Mhe, Rais atatumia hekima na busara katika kumaliza mgogoro huu ambao umedumu kwa muda mrefu sasa.
Mwisho, tunapenda kutoa rai kwa madaktari wote kuendelea kusimamia maamuzi tuliyokubaliana tarehe tatu, kwa mabadiliko yoyote tutafanya sote kwenye kikao itakapobidi.
Imetolewa uongozi.
08.03.2012
kuna mwananchi ameuliza kuna hasara gani mawaziri hawa wakijiuzulu?
kuna hasara gani madaktari wakigoma kurudi kazini?
Ila inauma! Assume Mponda angekuwa Baba yako?.........Nkya mama yako?.....
Ila inauma! Assume Mponda angekuwa Baba yako?.........Nkya mama yako?.....