Jackbauer
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,038
- 2,199
mbona sikuelewi unataka kumaanisha nini?rudi kwenye "logic" za sinkala hapo juu halafu upangilie maelezo yako.Je watanzania wengine ambao mishahara yao ni midogo tena kuliko ya madaktari hawana watoto, hawasafiri na daladala, hawana njaa, etc