Ijumaa waliporudi nina uhakika vitendea kazi vilikuwa havijafika Muhimbili. Ni sawa mgomo wao utaleta mabadiriko, lakini not at the expense ya wagonjwa kufa. Other means could have been used. Think if it were your child dying would you applause the striking doctors?
Wewe unasemaje?
pamoja na kutopewa stahili yao, pamoja na kufuata utaratibu ambao serikali wanautaka, na stahili zao kutopewa kipaumbele kwa miaka kadhaa.
Wewe ulikuwa unataka madaktari wafanyeje? wafanye kazi tu!!!!
Toka usingizini, this government never listen with the ears!!!......the see actions better.
Serikali ilishapewa tips mara nyingi kuhusu Blandina Nyoni, na madudu anayofanya. Procurement ya vitendanishi fake vya HIV rapid Test, viliwekwa wazi, hata kwenye magazeti, lakini kwasababu serikali hii haisikii, hawakulifualitia. Sasa serikali imeingia aibu baada ya US government through USAID and CDC kwenda kufanya quality test za vitendanishi hivyo na kugundulika ni fake, wakawashtua WHO, WHO wakavipiga ban.
Now, do you think this is a game of ''waoneeni huruma wagonjwa''??
Mkiambiwa serikali hii ni dhalimu hamsikii, mnataka watu wajitolee kuwahudumia wakati hamtaki kuiondoa madarakani.
Next time, the doctors will go on strike indefinitely!!!!.........and it will be very very soon.