Maelezo ya Kova yanaanza kwenda kushoto. Hapo kwenye red, ni tofauti na maelezo aliyotoa Dr Ulimboka mwenyewe ambapo alisema watu walikuja na kumuita pembeni. Sasa hizi taariza za wateja kulala chini Kova katoa wapi?
Maelezo ya KOVA yana ulakini mkubwa hata kwa mtu ambaye hajaenda shule ataelewa, ameaanza kujikanyaga mwenyewe hii inaonyesha dhahiri wanahusika na utekaji nyara wa Dr. Ulimboka.
Maelezo ya Dr. Ulimboka aliyoyatoa jana na hiki anachokisema Kova kuwa Leaders ilivamiwa ni uongo hao watu walikwenda direct pahala aliokaa Ulimboka na kunyakua na kuwaamuru wenzie waondoke kuwa wako huru, hii inaonyesha kuwa hoa watu walitumwa kumchukua Ulimboka na walipewa kazi ya kumuua hakuna jingine.
Kova hasemi hayo kwa bahati mbaya maana tume ya uchunguzi itakuja na ripoti inayosemas jamaa alivamiwa na majambazi.
Maelezo ya Kova yanaanza kwenda kushoto. Hapo kwenye red, ni tofauti na maelezo aliyotoa Dr Ulimboka mwenyewe ambapo alisema watu walikuja na kumuita pembeni. Sasa hizi taariza za wateja kulala chini Kova katoa wapi?
asante mkuu kwa kutukumbusha.jamaa*ndo huyuhuyu.ungemwangalia jana alivokuwa akiongea ungemuonea huruma!sitakosea sana kusema anajua yote yalotokea,hilo la uchunguzi ni danganya toto tu.'reading from his mind and not his lips'Kova huyu huyu au mwingine? Hvi ni kova wa intelejensia ya al-shabaab au mwingine? Hiv ni kova huyu wa cctv za posta kwa ajili ya jerry mulo au mwingine?
stupid wajisalimishe kwanza wapumbavu wa usalama wa taifa waliomteka kamanda wetu....mmelitibua,liwalo na liwe.....aluta continua